ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, March 28, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

MTOTO AUAWA KWA KUMWAGIWA MAJI YA MOTO AKIDAIWA KUJISAIDIA HOVYO

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Apr 19, 2022
in HABARI
0
MTOTO AUAWA KWA KUMWAGIWA MAJI YA MOTO AKIDAIWA KUJISAIDIA HOVYO
0
SHARES
213
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

RelatedPosts

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023

Habari Kuu Kwenye Magazeti ya Leo Machi 28,2023

Mar 28, 2023

TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION KUENDELEZA MAHUSIANO BORA NA WADAU KATIKA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

Mar 27, 2023

NALA kuwekeza zaidi ya Sh. Bilioni 2 baada ya kupata leseni ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT)

Mar 27, 2023
Load More
Mtoto aitwaye Joseph Juma mwenye umri wa miaka minne mkazi wa kijiji cha Lyabukande kata ya Lyabukande wilaya ya Shinyanga ameuawa kwa kupigwa na fimbo kisha kumwagiwa maji ya moto ya kupikia ugali na bibi yake aitwaye Tatu Moshi kwa madai kuwa anajisaidia hovyo hovyo kwenye nyumba yake.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP George Kyando amesema tukio hilo limetokeaAprili 18,2022 majira ya saa 11 alfajiri katika kijiji cha Lyabukande kata ya Lyabukande wilaya ya Shinyanga.
 
“Mtoto aitwaye Joseph Juma mwenye umri wa miaka minne aliuawa kwa kupigwa na fimbo sehemu mbalimbali za mwili wake na kisha kumwagiwa maji ya moto kabisa yaliyochemshwa kwa ajili ya ugali sehemu za tumboni na mguuni pia akiwa na mdogo wake aitwaye Limi Lameck mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi 7 ambaye naye alipigwa kwa fimbo sehemu mbalimbali za mwili wake bado na anaendelea kupata matibabu ya hayo majeraha”,amesema Kamanda Kyando.
 
“Aliyefanya tukio hili ni bibi yao aitwaye Tatu Moshi (45). Amekuwa akiwaadhibu wajukuu zake ambao mama yake ni Helena Nicholaus (21). Huyu Helena ni mtoto wa kwanza wa mama huyu na inasemekana amezaa na wanaume wawili alivyozaa akarudi nyumbani na kuishi na bibi huyo”,ameeleza Kamanda Kyando.
Amesema bibi huyo amekuwa akiwaadhibu vikali watoto hao kisa kwamba wanajisaidia hovyo kwenye eneo lake na kwenye nyumba yake.Majeraha tuliyomuona nayo marehemu mengine ni ya muda mrefu ‘makuukuu’ kwamba hicho kipigo hakikuanza jana bali ni cha siku nyingi.
Kamanda huyo amesema hata yule mtoto mdogo (Limi Lameck) naye ana majeraha ya muda mrefu, hii inaonesha kuwa bibi huyo alianza kutesa watoto hao muda mrefu.
“Huyu bibi tumemkamata na mama wa mtoto tumemkamata upelelezi ukikamilika tutawapeleka mahakamani”,amesema Kamanda Kyando.
 
“Hebu fikiria mtoto wa mwaka mmoja na miezi 7, mtoto wa miaka minne ambaye hajui jema wala baya unaadhibu kwa kipigo hiki, ni ukatili ulioje. Najua matendo haya yanafanyika sehemu mbalimbali hapa mkoani Shinyanga, natoa wito kwa wananchi kila mmoja awe mlinzi wa mwenzake, sidhani kama haya mambo alikuwa anafanya kwa siri, majirani walikuwa wanajua hili jambo.
 
 Hebu angalia mama wa mtoto huyu alikuwa anaangalia tu watoto wake wanapigwa lakini hajatoa taarifa polisi wala kwa viongozi wa serikali ya kijiji. Hii ina maanisha wananchi wengi mnajua jirani anatesa watoto na hamtoi taarifa”,amesema Kamanda Kyando.
“Tupeni taarifa za matukio hata kwa siri, kama hutaki ujulikane nipigieni simu/sms au kunibipu 0739009957 mimi nitapiga, hii itatusaidia kupunguza ukatili dhidi ya watoto”,ameongeza Kyando.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023
HABARI

Habari Kuu Kwenye Magazeti ya Leo Machi 28,2023

by ALFRED MTEWELE
Mar 28, 2023
TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION  KUENDELEZA MAHUSIANO BORA NA WADAU KATIKA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA
HABARI

TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION KUENDELEZA MAHUSIANO BORA NA WADAU KATIKA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

by Ally Hamis Zingizi
Mar 27, 2023
NALA kuwekeza zaidi ya Sh. Bilioni 2 baada ya kupata leseni ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT)
HABARI

NALA kuwekeza zaidi ya Sh. Bilioni 2 baada ya kupata leseni ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT)

by I am Krantz
Mar 27, 2023
Naibu Waziri   aipongeza Benki ya NBC kwa kusaidia maendeleo ya  michezo
HABARI

Naibu Waziri aipongeza Benki ya NBC kwa kusaidia maendeleo ya michezo

by I am Krantz
Mar 27, 2023
MZEE WA MIAKA 92 AFUNGA NDOA YA TANO MWAKA MMOJA BAADA YA NDOA NNE KUVUNJIKA
HABARI

MZEE WA MIAKA 92 AFUNGA NDOA YA TANO MWAKA MMOJA BAADA YA NDOA NNE KUVUNJIKA

by Shabani Rapwi
Mar 27, 2023
BAKWATA YASHIKILIA MSIMAMO NDOA MIAKA 14
HABARI

BAKWATA YASHIKILIA MSIMAMO NDOA MIAKA 14

by Shabani Rapwi
Mar 27, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
April 2022
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930  
« Mar   May »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In