ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Friday, March 24, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

MWENGE WA UHURU WAKATAA MRADI WILAYANI WANGING’OMBE

I am Krantz by I am Krantz
Apr 5, 2022
in HABARI
0
MWENGE WA UHURU WAKATAA MRADI WILAYANI WANGING’OMBE
0
SHARES
272
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Na Amiri Kilagalila,Njombe

RelatedPosts

MESUT ÖZIL ATANGAZA KUSTAAFU SOKA

MESUT ÖZIL ATANGAZA KUSTAAFU SOKA

Mar 23, 2023

WABUNGE WAONYA KUWEKEA VIKWAZO SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA

Mar 23, 2023

UWANJA WA NDEGE CHATO KUBORESHWA

Mar 23, 2023
Load More

Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Ndugu.Sahili Nyanzabara Geraruma amegoma kukabidhi Pikipiki kwa kikundi cha vijana kilichopo kata ya Ilembula wilayani Wanging’ombe mkoani Njombe kutokana na kubaini dosari ya kutokuwepo kwa bima ya vyombo hivyo.

Akizungumza mara baada ya kukagua mradi huo kwa vijana Ndugu.Geraruma amesema Mwenge huo hauwezi kukabidhi vyombo hivyo kutokana na kutokuwa na bima itakayowawezesha kusaidia afya zao wanapopatwa na majanga.

“Mwenge wa Uhuru kwa uatambuzi huo wa kuto kuwa na bima za umiliki wa vyombo vya moto utakuwa haupo tayari kutoa hizo PikiPiki kwa vijana wetu,bima zitakavyopatikana utaratibu mwingine ataendelea nao mkuu wa wilaya”alisema Geraruma


Aidha amesema serikali inajengwa na vijana hivyo haipo tayari kuona kijana anaangamia kwa sababu zisizokuwa za msingi.

ADVERTISEMENT

“Vijana ni rasilimali watu na haipo tayari kumuona kijana anaangamia pasipo sababu za msingi”alisema Geraruma.

Tangu mbio za Mwenge wa uhuru zilipozinduliwa mkoani Njombe hapo April 2 mwaka huu na kukimbizwa katika halmashauri tatu mpaka sasa hakuna mradi ulioweza kukataliwa mpaka ulipokataliwa mradi huo wa Pikipiki

ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

WABUNGE WAONYA KUWEKEA VIKWAZO SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA
HABARI

WABUNGE WAONYA KUWEKEA VIKWAZO SHERIA YA MAPENZI YA JINSIA MOJA

by ALFRED MTEWELE
Mar 23, 2023
UWANJA WA NDEGE CHATO KUBORESHWA
HABARI

UWANJA WA NDEGE CHATO KUBORESHWA

by ALFRED MTEWELE
Mar 23, 2023
ASHTAKIWA MAHAKAMANI KUWAINGILIA MBUZI KIMWILI
HABARI

ASHTAKIWA MAHAKAMANI KUWAINGILIA MBUZI KIMWILI

by ALFRED MTEWELE
Mar 23, 2023
NMB yatoa msaada wa milioni 39 kuimarisha sekta ya afya na elimu Kanda ya Kati
HABARI

NMB yatoa msaada wa milioni 39 kuimarisha sekta ya afya na elimu Kanda ya Kati

by I am Krantz
Mar 23, 2023
Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023
HABARI

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Alhamisi Machi 23,2023

by ALFRED MTEWELE
Mar 23, 2023
YANGA PRINCESS, SIMBA QUEENS HAKUNA MBABE
HABARI

YANGA PRINCESS, SIMBA QUEENS HAKUNA MBABE

by Shabani Rapwi
Mar 22, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
April 2022
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930  
« Mar   May »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In