ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, September 26, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

NMB YAGEUKIA WAKULIMA, YAMWAGA MABILIONI KWA RIBA NAFUU

I am Krantz by I am Krantz
Apr 4, 2022
in BIASHARA
0
NMB YAGEUKIA WAKULIMA, YAMWAGA MABILIONI KWA RIBA NAFUU
0
SHARES
158
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

JUMLA ya Sh78.8 bilioni zimeshatolewa na benki ya NMB kwa wakulima kati ya Sh100 bilioni walizotengewa kwa ajili ya kukopeshwa kwa riba nafuu ili kusaidia kukuza mnyororo wa kilimo.
Fedha hizo ni sehemu ya mkakati wa benki ya NMB kwa ajili sekta ya kilimo inayoajiri watanzania wengi zaidi ambapo benki inatoa fedha hizo kwa riba isiyozidi asilimia 10.
Takwimu hizo zilitolewa jana na Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara Filbert Mpozi wakati akimkaribisha Rais Samia Suluhu Hassan alipotembelea banda la benki hiyo kubwa nchini.
Kwa upande wake Rais alipongeza juhudi zote zinazofanyika ndani ya benki hiyo akisema kuwa anawashukuru sana kwa juhudi zao hizo.
Rais alifika katika banda hilo kwenye hafla ya ugawaji wa vitendea kazi kwa Maafisa Ugani nchi nzima ambayo ilifanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.
Mponzi alisema Kati ya shilingi bilioni 100 zilizotengwa kukopeshwa kwa wakulipa kwa riba ya chini ya asilimia 10, zaidi ya shilingi bilioni 78.8 zimeshakopeshwa kwa wanufaika 3,773 huku wakiwafikia zaidi ya wakulima na wajasiliamali wa kilimo milioni 1.4 kupitia taasisi yao ya NMB Foundation.
“Mbali na kiwango hicho, pia benki ya NMB imefanikiwa kuandaa mpango wa kufungulisha akaunti kwa wakulima, wavuvi na wafugaji ambapo katika kipindi cha miaka miwili iliyopita zaidi ya akaunti 500,000 zilifunguliwa,” alisema Mponzi. Afisa huyo alisema lengo la njia hiyo ni kuwawekea wakulima utaratibu maalumu ili wakidhi vigezo vya kupatiwa huduma za kifedha ikiwemo mikopo na mafunzo.

RelatedPosts

Benki ya NMB yatenga Sh. bilioni 20 BBT, yamwaga mikopo kwa Wakulima

Benki ya NMB yatenga Sh. bilioni 20 BBT, yamwaga mikopo kwa Wakulima

Aug 4, 2023

NMB, ZIPA zasaini Makubaliano ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar 

May 10, 2023

NMB YANG’ARA MAONESHO YA OSHA, YAIBUKA BENKI KINARA YENYE SERA BORA YA USALAMA, AFYA MAHALI PA KAZI

Apr 30, 2023
Load More


Kwa mujibu wa Afisa huyo, mpango huo ni kuunga juhudi za serikali, katika kusukuma mbele agenda ya maendeleo ya kiuchumi ya Vijana na Wanawake, hivyo waliamua kutangaza hati fungani maalumu tuliyoiita waliyoiita JASIRI BOND.
Hati hiyo imejikita katika kuwasaidia kusaidia wanawake wajasiliamali kwa riba nafuu ambapo mwitikio umekuwa mkubwa sana hata wameamua kuzindua NMB PESA lengo likiwa ni kurahisisha huduma za kipesa kwa wakulima na wateja wote kuwa karibu zaidi kwenye maeneo yao.
Akizungumzia utoaji wa mbegu za mafuta alisema tayari wateja 332 wakiwemo wakulima katika vyama vya ushirika (AMCOS) wameshanufaika na zaidi Sh 6 bilioni zimetolewa kwenye eneo hilo kama mikopo.
Nyingine ni kuwa benki hiyo imeshatoa zaidi ya Sh110 milioni kama mikopo ya bima ya afya za afya kwa makundi na taasisi za wakulima 697.
Baada ya juhudi za Serikali kutangazwa katika kuongeza uzalishaji wa Mafuta nchini na kupunguza kiasi cha fedha kinachotumika kuagiza Mafuta nje, NMB wameshafanya mawasiliano na wizara ya kilimo ili kuunga mkono juhudi hizo na tayari wametengeneza muundo wa mikopo kwa wakulima na mnyororo thamani unaeleza jinsi ya kuwasaidia wakulima.
Kwenye sekta ya mikopo NMB kwa kipindi cha miaka mitano wameshakopesha zaidi ya Sh1.3 trilioni kwenye kilimo, uvuvi na ufugaji na minyoyoyo yote ya thamani. Kingine ni kuwa, wameshaandaa mpango wa kufungulisha akaunti kwa wakulima, wavuvi na wafugaji ambapo kwa miaka miwili iliyopita, zaidi ya akaunti 500,000 zilifunguliwa.

Caption ya Picha:
Afisa Mkuu Wateja Binafsi na Biashara wa NMB, Filbert Mponzi (kushoto) akitoa maelezo kwa Rais Samia Suluhu Hassan alipotembelea banda la NMB kwenye uzinduzi wa ugawaji wa vitendea kazi kwa maafisa Ugani Kilimo Nchini uliofanyika jana Jijini Dodoma. Benki ya NMB ni wadhamini wa Hafla Hiyo na wadau wa kuliko. Pembeni ya Rais ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

Related

Tags: NMB
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

BENKI YA NMB YAZINDUA HATI FUNGANI YA MUDA WA KATI
BIASHARA

BENKI YA NMB YAZINDUA HATI FUNGANI YA MUDA WA KATI

by SUZO SHUKRANI
Sep 25, 2023
Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy
BIASHARA

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy

by I am Krantz
Sep 22, 2023
NMB BANK YAZINDUA NURU YANGU SCHOLARSHIP DIRISHA LA PILI
BIASHARA

NMB BANK YAZINDUA NURU YANGU SCHOLARSHIP DIRISHA LA PILI

by SUZO SHUKRANI
Sep 15, 2023
VODACOM TANZANIA FOUNDATION YAWADHAMINI WAENDESHA BAISKELI WA TWENDE BUTIAMA
BIASHARA

VODACOM TANZANIA FOUNDATION YAWADHAMINI WAENDESHA BAISKELI WA TWENDE BUTIAMA

by SUZO SHUKRANI
Sep 13, 2023
MAVUNDE ABAINISHA DIRA SEKTA YA MADINI KUELEKEA 2030
BIASHARA

MAVUNDE ABAINISHA DIRA SEKTA YA MADINI KUELEKEA 2030

by SUZO SHUKRANI
Sep 12, 2023
TANZANIA, MAREKANI KUIMARISHA SEKTA YA MADINI NCHINI
BIASHARA

TANZANIA, MAREKANI KUIMARISHA SEKTA YA MADINI NCHINI

by SUZO SHUKRANI
Sep 8, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

April 2022
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930  
« Mar   May »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In