ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Wednesday, June 7, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

ROYAL TOUR KUZALISHA AJIRA ZAIDI YA LAKI TATU

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Apr 28, 2022
in HABARI
0
RAIS SAMIA ATOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA 3,826
0
SHARES
274
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

RelatedPosts

RAIS SAMIA AMEFANYA UTEUZI HUU LEO

RAIS SAMIA AMEFANYA UTEUZI HUU LEO

Jun 7, 2023

UKRAINE YAKUMBWA NA MAFURIKO, BWAWA LAPASUKA

Jun 7, 2023

TRA YASISITIZA WENYE UMRI MIAKA 18+ LAZIMA WAWE NA TIN NUMBER

Jun 7, 2023
Load More
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametaja mafanikio lukuki yaliyotokana na ziara yake ya wiki mbili nchini Marekani, ambapo kazi kubwa ilikuwa kuzindua filamu ya Tanzania: The Royal Tour.
–
Akizungumza katika hafla ya mapokezi leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Kilimanjaro (KIA), Rais ametaja mafanikio hayo ikiwa ni pamoja na kuvutia uwekezaji wenye thamani ya shilingi trilioni 11.7 ambao unakusudiwa kuzalisha ajira zaidi ya laki 3.
–
Aidha, amesema Tanzania na Jimbo la Texas, Marekani zilifikia makubaliano na sasa zinaangalia namna ya kuanzisha safari za ndefe za moja kwa moja kutoka Tanzania hadi Dallas, hatua ambayo amesema utaongeza idadi ya watalii nchini.
–
Katika sekta ya afya ameeleza mafanikio aliyopata baada ya kutembelea kiwanda cha SC Johnson Family ambacho kimekubali kukarabati na kutoa vifaa kwa vituo vitatu vya kiuchunguzi Tanzania ambavyo ni Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Kituo cha Utafiti wa Afya na Maendeleo Ifakara na Kituo cha Utafiti wa Magonjwa Amani, Tanga.
–
Pia, kiwanda hicho kimeridhia kujenga vituo vya afya 200 vyenye kila kitu katika mikoa mikoa mitano inayosumbuliwa zaidi na malaria ambayo ni Geita, Katavi, Ruvuma, Kagera na Kigoma.
–
Kuhusu Royal Tour amesema amimeitangaza sana Tanzania kwani kwa nchi moja tu waliyokwenda ameona Tanzania bado haikuwa inafahamika, hivyo jitihada zaidi zinaitajika ili nchi pamoja na vivutio vilivyopo vijulikane duniani.
ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

RAIS SAMIA AMEFANYA UTEUZI HUU LEO
HABARI

RAIS SAMIA AMEFANYA UTEUZI HUU LEO

by ALFRED MTEWELE
Jun 7, 2023
UKRAINE YAKUMBWA NA MAFURIKO, BWAWA LAPASUKA
HABARI

UKRAINE YAKUMBWA NA MAFURIKO, BWAWA LAPASUKA

by ALFRED MTEWELE
Jun 7, 2023
TRA YASISITIZA WENYE UMRI MIAKA 18+ LAZIMA WAWE NA TIN NUMBER
HABARI

TRA YASISITIZA WENYE UMRI MIAKA 18+ LAZIMA WAWE NA TIN NUMBER

by ALFRED MTEWELE
Jun 7, 2023
KIKOSI KAZI MTEGONI/MEMBE AFUNGUKA/ACT YATEMA CHECHE/PABLO APATA KIGUGUMIZI……….MAGAZETINI LEO JUMATATU TAREHE 30 MEI 2022
HABARI

KURASA ZA MAGAZETI LEO JUMATANO TAREHE 7 JUNI 2023

by I am Krantz
Jun 7, 2023
BODI YA CHAI NA TMX ZAINGIA MAKUBALIANO YA MNADA WA CHAI
HABARI

BODI YA CHAI NA TMX ZAINGIA MAKUBALIANO YA MNADA WA CHAI

by ALFRED MTEWELE
Jun 6, 2023
TUNAENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZA SIKOSELI NCHINI – DKT. SHEKALAGHE
HABARI

TUNAENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZA SIKOSELI NCHINI – DKT. SHEKALAGHE

by ALFRED MTEWELE
Jun 6, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
April 2022
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930  
« Mar   May »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In