ADVERTISEMENT
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Sunday, May 22, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

TANZANIA COMMERCIAL BANK WAFADHILI UPIMAJI WA AFYA BURE DAR ES SALAM

Ally Hamis Zingizi by Ally Hamis Zingizi
Apr 25, 2022
in BIASHARA, HABARI
0
TANZANIA COMMERCIAL BANK WAFADHILI UPIMAJI WA AFYA BURE DAR ES SALAM
0
SHARES
29
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT
Meneja wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Tawi la Mbagala Edward Mwoleka (katikakati), akifanyiwa kipimo cha moyo na Mtaalam kutoka Alliance insurance Group Ravi Kumar,  wakati  Tanzania Commercial Bank waliposhirikiana na Alliance insurance kutoa vipimo vya magonjwa mbalimbali kwa wakazi wa mbagala na viunga vyake  bure anaeshuhudia ni Mkurugenzi  Mtendaji  Mkuu wa Alliance Insurance Group, KVA Krishnan. Hafla hiyo imefanyika leo katika ofisi za Tanzania Commercial Bank Tawi la Mbagala jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Benki ya Tanzania Commercial Bank Edward Mwoleka (wapilikushoto), pamoja na Mkurugenzi  Mtendaji  Mkuu wa Alliance Insurance Group, KVA Krishnan (kulia), wakiangalia mmoja ya wakazi wa Dar es Salaam, Joeseph John, akipatiwa huduma ya kipimo cha moyo na Mtaalam kutoka Alliance Insurance Group Ravi Kumar,   wakati  Tanzania Commercial Bank waliposhirikiana na Alliance insurance kutoa vipimo vya magonjwa mbalimbali kwa wakazi wa mbagala na viunga vyake  bure bila malipo
Baadhi ya wananchi waliojitokeza ili kupata vipimo hivyo.
Meneja wa Tanzania Commercial Bank Tawi la Mbagala Edward Mwoleka(Kulia), akisalimiana na  Mkurugenzi Mtendaji wa Alliance Insurance Group, KVA Krishnan na wakati wa hafla maalum ya utoaji vipimo bure uliyodhaminiwa na Tanzania Commecial Bank kwa kushirikiana ikishirikiana na Shirika la Bima Alliance Insurance incorporation kwa wakazi wa Dar es salam.
Mkazi wa Mbagala akifanyiwa kipimo cha shinikizo la damu na  Mtaalamu kutoka Shirika la Bima Alliance Insurance incorporation Group Ravi Kumar,kwakushirikiana na  Tanzania Commercial Bank walipokuwa wakitoa huduma ya vipimo vya magonjwa mbalimbali kwa wakazi wa Mbagala na vitongoji vyake bila malipo.
Meneja wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Tawi la Mbagala Edward Mwoleka akishuhudia mmoja wa wakazi wa jiji la Dar es Salaam akipata  kipimo cha sukari kutoka kwa Mtaalamu wa Maabara Husna Hassan wakati Benki ya Tanzania Commercial Bank ilipoungana na kampuni ya bima ya Alliance kutoa vipimo vya uchunguzi kwa wakazi wa Mbagala na vitongoji vyake bila malipo.

Mamia ya wananchi leo
wamejitokeza kupima afya zao  bure Tanzania Commercial Bank tawi la
Mbagala iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Temeke ikiwa ni sehemu ya Tanzania
Commercial Bank pamoja na shirika la bima la Alliance Insurance Corporation
kujali wateja wao na wananchi kwa ujumla.

Akizungumza katika
hafla hiyo Meneja wa Benki ya Tanzania Commercial Bank Tawi la Mbagala Edward
Mwoleka  “Amesema kuwa kila mtanzania angependa kujua afya yake hivyo
Tanzania Commercial Bank imeamua kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya
sita chini ya Rais Mama Samia Suluhu Hassan hasa katika sekta ya afya kwa kutoa
huduma ya vipimo bure bila malipo yoyote kwa wananchi wa mbagala.na viunga
vyake”.

RelatedPosts

WAANDISHI WA HABARI WAPIGWA MAWE KIMIUJIZA

WAANDISHI WA HABARI WAPIGWA MAWE KIMIUJIZA

May 22, 2022

19 WAJERUHIWA KATIKA AJALI

May 22, 2022

MANULA AKATWA NA KIOO

May 22, 2022
Load More

“Benki ya Biashara ya
Tanzania tuna kila sababu ya kuwajali watanzania na kuwapa wanachotamani ndio
maana leo tumeungana na wenzetu wa Alliance Insurance Corporation kwa kutoa
huduma ya kufanya vipimo vya magonjwa mbalimbali bure”.

ADVERTISEMENT

Mwoleka
amewataka watanzania na wakazi wa Mbagala kujiunga na Benki ya TCB kwani
imekuwa ikitoa huduma bora na rafiki kwa kila mtanzania pamoja na kujali jamii
ya wananchi.

 “Tuna mikopo ya
kuanzia Mfanya Biashara mdogo, wa kati na hadi mkubwa hivyo niwasihi wateja
wetu wajitokeze kuja kupata huduma katika benki yetu pendwa”.

 “Pia tuna mikopo ya
wastaafu hivyo amewasihi wastaafu kujitokeza na kujiunga kwenye fursa hizi. Pia
Benki inatoa mikopo mingi mbalimbali  yenye masharti nafuu na rafiki”.

Kwa upande wake
Msemaji wa Alliance Insurance Justin Erick ameishukuru Tanzania Commercial Bank
kwa kuwaamini na kufanya kazi pamoja ili kuhakikisha wanatoa huduma bora kwa
wananchi.

 Ameongeza kuwa kwa
huduma zote za bima zinapatikana katika matawi yote ya Tanzania Commercial Bank
hivyo amewasihi wananchi wa Mbagala wajivunie uwepo wa Alliance Insurance kwani
ni kampuni ya kwanza na ubora Tanzania katika utoaji wa huduma.

Related

ADVERTISEMENT
Ally Hamis Zingizi

Ally Hamis Zingizi

Related Posts

WAANDISHI WA HABARI WAPIGWA MAWE KIMIUJIZA
HABARI

WAANDISHI WA HABARI WAPIGWA MAWE KIMIUJIZA

by Shabani Rapwi
May 22, 2022
19 WAJERUHIWA KATIKA AJALI
HABARI

19 WAJERUHIWA KATIKA AJALI

by Shabani Rapwi
May 22, 2022
MANULA AKATWA NA KIOO
HABARI

MANULA AKATWA NA KIOO

by Shabani Rapwi
May 22, 2022
NAMUNGO WAPEWA ALAMA TATU, KOCHA MAKATA AFUNGIWA MIAKA MITANO
HABARI

MAKATA, NAFTARI WAOMBA RADHI

by Shabani Rapwi
May 22, 2022
VIFO MILIONI 8 KWA UVUTAJI WA SIGARA
HABARI

VIFO MILIONI 8 KWA UVUTAJI WA SIGARA

by Shabani Rapwi
May 22, 2022
AMRI YATOLEWA WATANGAZAJI WANAWAKE WAFUNIKE NYUSO ZAO
HABARI

AMRI YATOLEWA WATANGAZAJI WANAWAKE WAFUNIKE NYUSO ZAO

by Shabani Rapwi
May 22, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

ADVERTISEMENT

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s

KONCEPT TV
ADVERTISEMENT
Mwanaharakati Mzalendo

Mwanaharakati Mzalendo ni mtandao namba moja kwa habari makini kutoka pande zote za dunia kuhusiana na Michezo, Siasa, Afya, Elimu, Mahusiano, Vituko, n.k

Wasiliana nasi kwa Email;krantzcharles@gmail.com
SIMU; 0658123310

Follow Us

April 2022
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930  
« Mar   May »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In