ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Friday, December 1, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

TRA YATOA MSAMAHA KWA WAMILIKI WA VYOMBO VYA MOTO VILIVYOINGIZWA NCHINI KINYUME CHA SHERIA

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Apr 26, 2022
in HABARI
0
TRA YATOA MSAMAHA KWA WAMILIKI WA VYOMBO VYA MOTO VILIVYOINGIZWA NCHINI KINYUME CHA SHERIA
0
SHARES
336
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa msamaha wa riba na adhabu ya kodi kwa wamiliki wa vyombo vya moto vilivyoingizwa nchini bila kufuata taratibu za forodha kuanzia tarehe 25 Aprili hadi Juni 30, 2022.
–
Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi, Richard Kayombo amesema kwamba, vyombo hivyo vinahusisha vile vilivyoingizwa kwa njia za magendo, vilivyokusudiwa kwenda nchi jirani lakini vikaingizwa nchini kinyume na taratibu, vilivyoingizwa nchini kwa muda na kuzidisha muda wa kukaa nchini na vilivyotumia msamaha wa kodi kinyume na sheria au kubadilishwa umiliki bila kufuata taratibu.
–
“Lengo la msamaha huu ni kutoa unafuu kwa wamiliki wa vyombo hivyo vya moto vyenye madeni ya kodi na adhabu kwa kulipa kodi waliyokadiriwa tu bila adhabu na riba,” amesema Mkurugenzi Kayombo.
Amelitaja lengo lingine la msamaha huo kuwa ni kujenga ushirikiano na uhusiano mwema kati ya TRA na wamiliki hao, kuwapa motisha ya kulipa kodi kwa hiari na wakati pamoja na kuweka kumbukumbu au taarifa sahihi za umiliki wa vyombo hivyo.
–
Mkurugenzi Richard Kayombo ametoa wito kwa wamiliki hao wa vyombo vya moto kujitokeza ndani ya muda wa msamaha uliotolewa na Kamishna Mkuu ili waweze kulipa kodi halisi inayodaiwa na hatimaye kukomboa vyombo yao. “Nachukua fursa hii kutoa wito kwa wamiliki wote wa vyombo vya moto vilivyoingizwa nchini kwa njia nilizozitaja, kuchangamkia msamaha huu ili waweze kukomboa vyombo vyao kwa kulipia kodi halisi isiyokuwa na riba wala adhabu,” alieleza.
–
Mamlaka ya Mapato Tanzania imetoa msamaha huu kwa mujibu wa kifungu cha sheria namba 70 (2) cha Sheria ya usimamizi wa Kodi ya mwaka 2015, kama ilivyofanyiwa marekebisho na Sheria ya Fedha ya mwaka 2021 pamoja na kifungu cha 249 cha Sheria ya Usimamizi wa Ushuru wa Forodha ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ya mwaka 2004 ambazo zinampa Kamishna Mkuu wa TRA mamlaka ya kusamehe riba na adhabu.
ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

Tuliishi maisha ya shida sana kisa uchawi wa jirani!
HABARI

Tuliishi maisha ya shida sana kisa uchawi wa jirani!

by I am Krantz
Nov 30, 2023
EACOP Yakamilisha Utaratibu Wa Fidia Kwa Kukabidhi Nyumba Ya 339 Mkoani Tanga
HABARI

EACOP Yakamilisha Utaratibu Wa Fidia Kwa Kukabidhi Nyumba Ya 339 Mkoani Tanga

by I am Krantz
Nov 29, 2023
MAWAKALA WA USAJILI WA VODACOM TANZANIA WATEMBELEA AFRIKA YA KUSINI KUTOKANA NA UTENDAJI BORA WA KAZI.
HABARI

MAWAKALA WA USAJILI WA VODACOM TANZANIA WATEMBELEA AFRIKA YA KUSINI KUTOKANA NA UTENDAJI BORA WA KAZI.

by I am Krantz
Nov 29, 2023
NMB, Oryx Tanzania wazindua ‘Moto Mkali Bei Poa,’ kukopesha gesi ya kupikia
HABARI

NMB, Oryx Tanzania wazindua ‘Moto Mkali Bei Poa,’ kukopesha gesi ya kupikia

by I am Krantz
Nov 27, 2023
Kampeni Ya Serengeti Maokoto Ndani Ya Kizibo Yazidi Kusambaza Furaha Kwa Watanzania
HABARI

Kampeni Ya Serengeti Maokoto Ndani Ya Kizibo Yazidi Kusambaza Furaha Kwa Watanzania

by I am Krantz
Nov 27, 2023
NMB Mlipa Kodi Mkubwa na Bora Zaidi Tanzania 2023 🇹🇿
HABARI

NMB Mlipa Kodi Mkubwa na Bora Zaidi Tanzania 2023 🇹🇿

by I am Krantz
Nov 27, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TWEETS

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
April 2022
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930  
« Mar   May »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In