ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, March 28, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Ukraine : Tuko tayari kwa “vita vikubwa” Mashariki mwa nchi

I am Krantz by I am Krantz
Apr 11, 2022
in HABARI
0
Ukraine : Tuko tayari kwa “vita vikubwa” Mashariki mwa nchi
0
SHARES
87
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky mjini Kyiv, Aprili 9, 2022.

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky mjini Kyiv, Aprili 9, 2022. AP – Evgeniy Maloletka

RelatedPosts

TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION  KUENDELEZA MAHUSIANO BORA NA WADAU KATIKA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION KUENDELEZA MAHUSIANO BORA NA WADAU KATIKA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

Mar 27, 2023

NALA kuwekeza zaidi ya Sh. Bilioni 2 baada ya kupata leseni ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT)

Mar 27, 2023

Naibu Waziri aipongeza Benki ya NBC kwa kusaidia maendeleo ya michezo

Mar 27, 2023
Load More

Katika siku ya 46 ya uvamizi wa Urusi nchini Ukraine tarehe 10 Aprili, Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson alifanya ziara ya ghafla nchini Ukraine ambapo alikutana na Rais Volodymyr Zelensky mjini Kyiv.

Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson alifanya ziara ya kushtukiza katika mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, mnamo Aprili 9, na kumfanya kuwa kiongozi wa kwanza wa G7 kuzuru Ukraine tangu Urusi ilipoanza uvamizi wake mnamo Februari 24. Boris Johnson aliahidi kuipatia Ukraine magari ya kivita na mifumo ya kujizuia na makombora pamoja na msaada zaidi wa kifedha na kutoa wito kwa nchi nyingine “kuiga mfano wa Uingereza”.

ADVERTISEMENT

Wakati huohuo Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema taifa hilo limejiandaa kwa mapigano makali na vikosi vya Urusi vilivyojiimarisha mashariki mwa nchi hiyo huku Uingereza ikiahidi msaada mpya wa kifedha na kijeshi.

ADVERTISEMENT

Takriban euro bilioni 10 zimekusanywa wakati wa kongamano la kimataifa la kuunga mkono Ukraine. Miongoni mwa pesa hizo zilizotolewa na Tume ya Ulaya, “euro milioni 600 zitaenda kwa mamlaka ya Ukraine na sehemu moja kwa Umoja wa Mataifa”, alibainisha Ursula von der Leyen, ambaye alithibitisha kwamba euro milioni 400 zitalipwa kwa mataifa yalioko katika mstari wa mbele katika mapokezi ya wakimbizi.

Takriban watu 52 waliuawa na 109 kujeruhiwa katika shambulio la roketi kwenye kituo cha Kramatorsk huko Donbass, ambapo raia wanatoroka eneo hili la mashariki mwa Ukraine. Moscow imekanusha kuhusika shambulio hilo na kushutumu “uchochezi” wa vikosi vya Kyiv.

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION  KUENDELEZA MAHUSIANO BORA NA WADAU KATIKA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA
HABARI

TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION KUENDELEZA MAHUSIANO BORA NA WADAU KATIKA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

by Ally Hamis Zingizi
Mar 27, 2023
NALA kuwekeza zaidi ya Sh. Bilioni 2 baada ya kupata leseni ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT)
HABARI

NALA kuwekeza zaidi ya Sh. Bilioni 2 baada ya kupata leseni ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT)

by I am Krantz
Mar 27, 2023
Naibu Waziri   aipongeza Benki ya NBC kwa kusaidia maendeleo ya  michezo
HABARI

Naibu Waziri aipongeza Benki ya NBC kwa kusaidia maendeleo ya michezo

by I am Krantz
Mar 27, 2023
MZEE WA MIAKA 92 AFUNGA NDOA YA TANO MWAKA MMOJA BAADA YA NDOA NNE KUVUNJIKA
HABARI

MZEE WA MIAKA 92 AFUNGA NDOA YA TANO MWAKA MMOJA BAADA YA NDOA NNE KUVUNJIKA

by Shabani Rapwi
Mar 27, 2023
BAKWATA YASHIKILIA MSIMAMO NDOA MIAKA 14
HABARI

BAKWATA YASHIKILIA MSIMAMO NDOA MIAKA 14

by Shabani Rapwi
Mar 27, 2023
MOURINHO KOCHA BORA WA KARNE – ÖZIL
HABARI

MOURINHO KOCHA BORA WA KARNE – ÖZIL

by Shabani Rapwi
Mar 27, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
April 2022
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930  
« Mar   May »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In