ADVERTISEMENT
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Sunday, May 22, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Video ya Pasta Akipaa Mbinguni Yatetemesha Mitandao ya Kijamii

I am Krantz by I am Krantz
Apr 25, 2022
in HABARI
0
Video ya Pasta Akipaa Mbinguni Yatetemesha Mitandao ya Kijamii
0
SHARES
70
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Katika video hiyo, mtumishi huyo wa Mungu anaonyesha akibebwa juu kwenye dari ya kanisa

Kisha anavutwa juu na kile kinaonekana kuwa kamba huku waumini wakiimba nyimbo za kusifu

Video hiyo imezua hisia mseto mitandaoni wengi wakitaja tukio hilo kama siku za mwisho

Video moja inayosambaa kama moto ikimuonyesha mchungaji kanisani akidaiwa kupaa mbinguni imezua mjadala moto katika mitandao ya kijamii.

Video ya Pasta Akipaa Mbinguni Yatetemesha Mitandao ya Kijamii

Katika video hiyo, mtumishi huyo wa Mungu anaonyesha akibebwa juu kwenye dari ya kanisa.

Katika video hiyo, mtumishi huyo wa Mungu anaonyesha akibebwa juu kwenye dari ya kanisa na kuvutwa juu kile kinaonekana kuwa kamba huku waumini wakiimba nyimbo za kusifu.

Japo haijabainika tukio hilo lilishuhudiwa wapi, inaidiwa ni kutoka kwa moja ya makanisa bara Afrika.

Maoni ya wanamitandao

Wanamtandao walikuwa na haya ya kusema

Little Brian: “Ukristo uliondoka Israeli kama familia, ukaja Roma kama dini, ukaenda Uingereza kama siasa na ukaishia Afrika kama biashara.”

Halligan Agade: “Yesu Kristo alitangaza kwamba kutakuja wakati ambapo MANABII WA UONGO watakuwa wengi. Watawadanganya hata walio wateule. Kwa kweli huu ni uthibitisho.”

Malaika Kimani: “Na nina hakika baadhi ya makutaniko yake wanasali kwa ndimi kwa kuguswa na kuhamia kwake mbinguni hii dunia ni Jupiter.”

Michael Kip Lagat: “Bora asirudi Tena aende kabisa pengine kama wafuasi wake ni wajinga.”

Tazama video hiyo hapa. https://fb.watch/cBMoK-q_aw/

Pasta aoa wake wanne siku moja katika harusi ya kufana

Katika taarifa nyingine ya kutamausha kuhusu dini, Tuko.co.ke iliripotia kumhusu mchungaji Zagabe Chiluza, mwanamume kutoka mashariki mwa Congo, alizua gumzo baada ya kuoa wake wanne.

RelatedPosts

No Content Available
Load More

Mchungaji huyo mwenye wake wengi aliwaoa wanawake hao wanne, wote mabikira, katika sherehe ya harusi ya kupendeza mwaka mmoja uliopita.

ADVERTISEMENT

Alikuwa ameoa mke wa kwanza kabla ya kuoa hao wanne, akidai kuwa alipata wazo la kuwa na wake wengi kutoka kwa Biblia, akitumia Yakobo, ambaye alikuwa na wake wanne, kama mfano.

“Nimefurahi kuwa na wake watano. “Yakobo alikuwa na wake wengi Lea na Raheli, kisha Bilha na Zilpa … wake wanne kwa mwanamume mmoja,” alisema,” Mchungaji Zagabe alisema wakati wa harusi yake

Mtumishi huyo wa Mungu aliyejaa majivuno alisema wanaume kutoka katika kanisa lake huoa mabikira pekee, akiwahimiza wengine kuoa wake wengi.

Related

Tags: NIGERIA
ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

Related Posts

WAANDISHI WA HABARI WAPIGWA MAWE KIMIUJIZA
HABARI

WAANDISHI WA HABARI WAPIGWA MAWE KIMIUJIZA

by Shabani Rapwi
May 22, 2022
19 WAJERUHIWA KATIKA AJALI
HABARI

19 WAJERUHIWA KATIKA AJALI

by Shabani Rapwi
May 22, 2022
MANULA AKATWA NA KIOO
HABARI

MANULA AKATWA NA KIOO

by Shabani Rapwi
May 22, 2022
NAMUNGO WAPEWA ALAMA TATU, KOCHA MAKATA AFUNGIWA MIAKA MITANO
HABARI

MAKATA, NAFTARI WAOMBA RADHI

by Shabani Rapwi
May 22, 2022
VIFO MILIONI 8 KWA UVUTAJI WA SIGARA
HABARI

VIFO MILIONI 8 KWA UVUTAJI WA SIGARA

by Shabani Rapwi
May 22, 2022
AMRI YATOLEWA WATANGAZAJI WANAWAKE WAFUNIKE NYUSO ZAO
HABARI

AMRI YATOLEWA WATANGAZAJI WANAWAKE WAFUNIKE NYUSO ZAO

by Shabani Rapwi
May 22, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

ADVERTISEMENT

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s

KONCEPT TV
ADVERTISEMENT
Mwanaharakati Mzalendo

Mwanaharakati Mzalendo ni mtandao namba moja kwa habari makini kutoka pande zote za dunia kuhusiana na Michezo, Siasa, Afya, Elimu, Mahusiano, Vituko, n.k

Wasiliana nasi kwa Email;krantzcharles@gmail.com
SIMU; 0658123310

Follow Us

April 2022
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930  
« Mar   May »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In