
Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC, Sitholizwe Mdlalose, akizungumza na wafanyakazi wa Vodacom kanda ya Kati jijini Dodoma

Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC, Sitholizwe Mdlalose(kulia) akizungumza na watendaji wakuu wa Vodacom alioongozana nao mara baada ya kutoka ofisini kwa mkuu wa mkoa wa Dodoma.
Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC, Sitholizwe Mdlalose, akizungumza na mkuu wa mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka baada ya kuwasili ofisini kwake kwa mazungumzo
.Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Antony Mtaka akizungumza na ugeni wake ofisini kwake

Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Antony Mtaka, akisalimiana na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn Mworia, mara baada ya kuwasili ofisini kwake akiambatana maofisa waandamizi wa Kampuni hiyo ili kufanya mazungumzo nae.
Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Antony Mtaka, akisalimiana na Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC, Sitholizwe Mdlalose. baada ya kufika ofisini kwake jijini Dodoma kwa ajili ya mazungumzo, Kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn Mworia.