ADVERTISEMENT
![]() |
Wanafunzi wa shule ya sekondari Omumwani mkoani Kagera wakipata mafunzo ya namna ya kutumia huduma ya E- Fahamu inayowezesha wanafunzi kupata elimu kidijitali mahali popote walipo kutoka kwa wataalam wa mifumo ya kompyuta wa Vodacom Tanzania PLC, mafunzo hayo yaliandaliwa na Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation ambayo hivi karibuni imetoa msaada wa kompyuta na pia itaunganisha shule 50 za umma zilizoko katika mikoa 10 nchini (School Connectivity Project ).
|
ADVERTISEMENT