ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, March 20, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Vodacom Tanzania yazindua mfumo m-mama utakaosaidia usafiri kwa kinamama wajawazito na watoto wachanga pindi wanapopata dharura

I am Krantz by I am Krantz
Apr 8, 2022
in HABARI
0
Vodacom Tanzania yazindua mfumo m-mama utakaosaidia usafiri kwa kinamama wajawazito na watoto wachanga pindi wanapopata dharura
0
SHARES
252
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Tekonolojia  ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (kulia) akimsikiliza Mkuu wa  Kitengo cha Mawasiliano wa Vodacom Group South, Mwamvita Makamba, Wa pili kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Sitholizwe Mdlalose na Kushoto ni Meneja wa Uhusiano wa kampuni hiyo Alex Bitekeye


RelatedPosts

RJ THE DJ VIFO VINAONGEZA MSONGO WA MAWAZO

ROMY JONS AOMBA MSAMAHA

Mar 20, 2023

MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”

Mar 20, 2023

WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA

Mar 20, 2023
Load More
Afisa Mtendaji Mkuu wa Vodacom Group, Shameel Joosub akizungumza kwenye uzinduzi wa mfumo wa Vodacom m-mama utakaosaidia kuwapa usafiri kinamama wajawazito na watoto wachanga pindi wanapopata dharura. Hafla ya uzinduzi  huo ilifanyika, Chinangali Dodoma


ADVERTISEMENT


Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania plc wakiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan kwenye uzinduzi wa mfumo wa Vodacom m-mama utakaosaidia kuwapa usafiri kinamama wajawazito na watoto wachanga pindi wanapopata dharura. Hafla ya uzinduzi  huo ilifanyika juzi, Chinangali Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mkurugenzi wa m-mama, Dolorosa Duncan (kulia) kuhusu  mfumo wa Vodacom m-mama utakaosaidia kuwapa usafiri kinamama wajawazito na watoto wachanga pindi wanapopata dharura. Hafla ya uzinduzi  huo ilifanyika, Chinangali Dodoma

Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Sitholizwe Mdlalose (wapili kulia) akibadilishana mawazo na  Afisa Mtendaji Mkuu wa Vodacom Group, Shameel Joosub (wa pili kushoto), Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Vodacom Tanzania Plc, Jaji (Mstaafu) Thomas Mihayo na mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi Vodacom Tanzania Plc, Margaret Ikongo (kulia)  kwenye hafla ya uzinduzi wa mfumo wa Vodacom m-mama utakaosaidia kuwapa usafiri kinamama wajawazito na watoto wachanga pindi wanapopata dharura. Hafla ya uzinduzi  huo ilifanyika juzi, Chinangali Dodoma

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Tekonolojia  ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (wa pili kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Sitholizwe Mdlalose (kulia),  Afisa Mtendaji Mkuu wa Vodacom Group, Shameel Joosub (wa pili kulia), Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation, Rosalynn Mworia (katikati) na Afisa Mkuu wa Biashara Kimataifa, Diego Gutierrez kwenye uzinduzi wa mfumo wa Vodacom m-mama utakaosaidia kuwapa usafiri kinamama wajawazito na watoto wachanga pindi wanapopata dharura. Hafla ya uzinduzi  huo ilifanyika juzi, Chinangali Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye uzinduzi wa mfumo wa Vodacom m-mama utakaosaidia kuwapa usafiri kinamama wajawazito na watoto wachanga pindi wanapopata dharura. Hafla ya uzinduzi  huo ilifanyika Chinangali Dodoma
ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

RJ THE DJ VIFO VINAONGEZA MSONGO WA MAWAZO
HABARI

ROMY JONS AOMBA MSAMAHA

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”
HABARI

MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”

by ALFRED MTEWELE
Mar 20, 2023
WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA
HABARI

WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
TMA YATOA TAHADHARI MVUA KUBWA MIKOA HII KUANZIA LEO NA KESHO
HABARI

TMA YATOA TAHADHARI MVUA KUBWA MIKOA HII KUANZIA LEO NA KESHO

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
WATU 5 WASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA WIZI MAFUTA SGR
HABARI

WATU 5 WASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA WIZI MAFUTA SGR

by ALFRED MTEWELE
Mar 20, 2023
MARUFUKU KUTOA FEDHA UPATE DHAMANA POLISI
HABARI

MARUFUKU KUTOA FEDHA UPATE DHAMANA POLISI

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
April 2022
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930  
« Mar   May »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In