Kikundi cha Wanawake kimeandamana asubuhi ya leo April 11, 2022 katika jiji la Kampala nchini Uganda kikishinikiza Wanaume kuwaongezea kiwango cha pesa ya matumizi wanachowaachia kwani gharama za maisha zimepanda, hata hivyo Polisi wamewakamata na kusema maandamano batili.
Follow Us
All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.
All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.