ADVERTISEMENT
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact
Sunday, May 22, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
ADVERTISEMENT
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Zari Hassan na Wema Sepetu Faida Kwa Mondi

I am Krantz by I am Krantz
Apr 16, 2022
in HABARI
0
Zari Hassan na Wema Sepetu Faida Kwa Mondi
0
SHARES
51
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

WAANDISHI WA HABARI WAPIGWA MAWE KIMIUJIZA

WAANDISHI WA HABARI WAPIGWA MAWE KIMIUJIZA

May 22, 2022

19 WAJERUHIWA KATIKA AJALI

May 22, 2022

MANULA AKATWA NA KIOO

May 22, 2022
Load More

U

Zarina Hassan ‘Zari’ na Wema Sepetu ‘Maadam’. Wote ‘wameshea’ mbavu za Abdul Naseeb ‘Diamond Platinum. Licha ya mshikaji kupita na pisi kibao zenye viwango. Lakini hawa wameacha alama zao kwake.

ZARI

Alijitenga na mbavu za Mondi miaka michache nyuma. Akizidiwa na fujo za dogo ambaye ana kila kitu kimaishani. Maisha ambayo kila kijana anayatamani au kuyaota. Yes yuko vizuri na Misa siyo kitu cha ajabu kwetu alipovamia anga la mwenzake miaka kadhaa nyuma. Mawe.

WEMA

Penzi lake kwa Mondi liliingiliwa sana na pisi kadhaa za mjini, hasa mastaa wenzake. Lakini alitoka na kurudi kwa Mondi mara kadhaa na kukomaa. Ujio rasmi wa Zari pale Madale, ulifanya Wema akae mbali na mbavu za Mondi jumla jumla. Kifupi hajawahi tena kuwa na thamani ile mbele ya uso wa Mondi.

ZARI

Kampa heshima Mondi kwa kumzalia watoto wawili. Na kuwatuliza wanoko waliosema mwana mgumba. Kabla ya Zari, alitoka na pisi kibao bila matokeo. Zari kampa heshima na maujanja ya kujiongeza zaidi kimaisha. Lile ting’a la “Zari All White Party” pale Mlimani City unalikumbuka?

WEMA

Alimpa penzi na umaarufu.uliofanya hata Zari akamjua. Akampa kiingereza cha kuwasiliana kimataifa. Yes! Wema anajua sana lugha na alikuwa staa zaidi ya Mondi kabla. Na kiki kibao za Wema zilitengenezea pesa zaidi kwa Mondi. Vuta kumbukumbu ya show kubwa ya kwanza ya Mondi, “Diamond Are Forever” pale Mlimani City. Amazing.

MONDI

Shughuli zake, umaarufu wake, pesa zake, umri wale na njaa za wadada wa mjini. Ni vigumu sana kutulia. Labda iwe pisi yenye upungufu wa akili, ndo itaweza kuhimili presha za msela huyu. Lakini hata Wema na Zari, wote wako nje ya uwanja wa Mondi kihisia.

“Haya ndo mapenzi yenye faida na maisha kwa mwanaume.”

ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

Related Posts

WAANDISHI WA HABARI WAPIGWA MAWE KIMIUJIZA
HABARI

WAANDISHI WA HABARI WAPIGWA MAWE KIMIUJIZA

by Shabani Rapwi
May 22, 2022
19 WAJERUHIWA KATIKA AJALI
HABARI

19 WAJERUHIWA KATIKA AJALI

by Shabani Rapwi
May 22, 2022
MANULA AKATWA NA KIOO
HABARI

MANULA AKATWA NA KIOO

by Shabani Rapwi
May 22, 2022
NAMUNGO WAPEWA ALAMA TATU, KOCHA MAKATA AFUNGIWA MIAKA MITANO
HABARI

MAKATA, NAFTARI WAOMBA RADHI

by Shabani Rapwi
May 22, 2022
VIFO MILIONI 8 KWA UVUTAJI WA SIGARA
HABARI

VIFO MILIONI 8 KWA UVUTAJI WA SIGARA

by Shabani Rapwi
May 22, 2022
AMRI YATOLEWA WATANGAZAJI WANAWAKE WAFUNIKE NYUSO ZAO
HABARI

AMRI YATOLEWA WATANGAZAJI WANAWAKE WAFUNIKE NYUSO ZAO

by Shabani Rapwi
May 22, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

ADVERTISEMENT

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s

KONCEPT TV
ADVERTISEMENT
Mwanaharakati Mzalendo

Mwanaharakati Mzalendo ni mtandao namba moja kwa habari makini kutoka pande zote za dunia kuhusiana na Michezo, Siasa, Afya, Elimu, Mahusiano, Vituko, n.k

Wasiliana nasi kwa Email;krantzcharles@gmail.com
SIMU; 0658123310

Follow Us

April 2022
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930  
« Mar   May »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In