ISIPITE SIKU BILA YA KUMWAMBIA MAMBO HAYA MPENZI WAKO
1.Nakupenda Nakupenda ni kitu rahisi na cha wazi cha kumwambia mpenzi wako. Hakikisha tu kuwa unamaanisha. Jaribu ...
Read more1.Nakupenda Nakupenda ni kitu rahisi na cha wazi cha kumwambia mpenzi wako. Hakikisha tu kuwa unamaanisha. Jaribu ...
Read moreUkiwa mtu wa kuangalia mambo kwa juu juu basi kila kitu kwako kitakuwa kigumu. Kusoma unaweza kuona ni kugumu, ...
Read moreSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ameipongeza Benki ya CRDB kwa kuendelea kutengeneza faida ...
Read moreMwenyekiti wa Tume ya Madini Prof. Idris S. Kikula alitembelea banda la Benki ya Equity katika maonesho ya kwanza ya ...
Read moreNa Muhidin Amri, Masasi ZAIDI ya miti milioni 4.3 imepandwa na Wakala wa huduma za misitu Tanzania(TFS)kanda ya kusini kuanzia Mwezi Disemba hadi April 2022 huku miti takribani milioni 2 ikigawiwa kwa taasisi za Serikali ikiwamo shule za msingi,Sekondari na Wananchi. Hayo yamesemwa jana na Kamanda wa TFS Kanda ya Kusini Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Uhifadhi wa misitu Manyise Mpokigwa,wakati akizungumzia kuhusu kampeni ya upandaji miti inayofanywa na TFS katika mikoa ya Kusini. Mpokigwa alisema,kanda ya kusini yenye mikoa ya Lindi,Mtwara na Ruvuma ina mashamba ya miti ambako katika mkoa wa Ruvuma mashamba hayo ni Wino na Mpepo ambako wameotesha miti laini kwa ajili ya kupandwa katika mashamba yao na kugawa kwa taasisi za Serikali. Alisema, TFS inasimamia aina mbili za misitu ambayo ni miti ya kupandwa na miti ya asili ambapo katika mkoa wa Ruvuma asilimia kubwa ya miti ni ya kupandwa ikilinganishwa na mikoa ya Lindi na Mtwara ambayo miti yake ni ya asili pamoja na miti michache ya kupandwa inayostahimili sana katika ukanda wa joto kama vile mitiki. Alisema,katika bustani ya miti Ruangwa mkoani Lindi miti iliyozalishwa iligawiwa kwa Halmashauri zote zilizopo katika mkoa huo na wananchi na katika bustani ya Newala mkoani Mtwara miche iliyozalishwa kwa wingi ni ya matunda,miti ya vivuli,mitiki,mkongo na mpingo. Alisema,TFS inapanda miti kwa malengo mbalimbali kama kurejesha uoto mahali ulipopotea,kubadili mitazamo ya watu kuhusu misitu na miti na wanahimiza jamii kupanda miti ili kupata mazao ya miti toka vyanzo vyao kwa ajili ya kupunguza kutegemea misitu ya asili. Alisema,wana jukumu la kusimamia na kulinda rasilimali za misitu kwa ajili ya faida ya vizazi vya sasa na vinavyokuja,hivyo ni jukumu ya kila Mtanzania kupanda miti iwe ya mbao,matunda au kivuli kwani kufanya hivyo kutasaidia sana uwepo wa misitu ambayo faida zake ni nyingi. Alisema,kuna sababu kwa Watanzania kuendelea kupanda miti katika maeneo mbalimbali ili kukabiliana na kasi ya uharibifu wa mazingira inayoendelea kufanywa na baadhi ya watu. Alisema, katika msimu wa mwaka 2020/2021 jumla ya miche ya miti milioni 4 kati ya hiyo miche zaidi ya milioni 2 iligawiwa kwa wananchi na taasisi za Serikali na Dini kama mkakati wa TFS kupanda miti kibiashara. Alisema, tathimini ya maendeleo ya miti iliyopandwa mwaka 2020/2021 iliyofanyika hivi karibuni imebaini kuwa, miti mingi iliyogawiwa na kuoteshwa na wadau mbalimbali imeota vizuri kwa asilimia 75 na michache imeshindwa kuota kutokana na hali ya hewa. Alieleza kuwa,ile iliyopandwa kwenye taasisi kama shule ilishindwa kuendelea kutokana na janga la Covid-19 ambapo wahudumiaji ambao ni wanafunzi hawakuwepo shuleni hivyo kushindwa kuhudumiwa vizuri. Alisema,katika kazi zao wanashirikiana kwa karibu na jamii na taasisi za Serikali ambapo mwaka 2021 TFS ilitoa zaidi ya mizinga 50 ya nyuki kwa wananchi katika Tarafa za Mchinga na Mtama. Alisema, mizinga hiyo imetumika kama sehemu ya kuzuia wanyama waharibifu kama Tembo wanaovamia mashamba na kuharibu mazao na kuvuna asali kwa ajili ya kuwapatia wananchi kipato. Alisema, katika wilaya ya Songea mkoa wa Ruvuma wamegawa mizinga ya nyuki 100 kwa vikundi vinne vinavyojihusisha na ufugaji nyuki katika maeneo mbalimbali. ...
Read moreShabiki wa klabu ya Nottingham Forest Robert Biggs (30) amehukumiwa kifungo cha miezi 6 jela kwa kumshambulia kwa kumpiga ...
Read moreWakala wa Robert Lewandowski, Pini Zahavi ameripotiwa kununua jezi 10 za klabu ya Barcelona zilizochapishwa jina la mshambuliaji huyo ...
Read moreMwanafunzi wa kiume mwenye umri wa miaka 16 ambaye yuko kwenye mpango wa kutaka kuwa mtu mdogo kuliko wote ...
Read moreWaziri wa Maliasili na Utalii balozi, Dkt. Pindi Chana ameridhishwa na kazi nzuri zinazofanywa na chuo hicho cha utalii ...
Read moreBinti mmoja anayefahamika kwa jina la Happiness Mdoshi (15) mwanafunzi wa kidato Cha pili katika Shule ya sekondari Nyanza ...
Read moreMahakama ya Wilaya ya Ludewa imemhukumu kutumikia kifungo cha mika 30 jela Dalali Minze Sengerema (36) mkazi wa kijiji ...
Read moreMkurugenzi Mkuu wa Tume ya kudhibiti Ukimwi Tanzania TACAIDS Dkt.Leornad Maboko amesema ili Taifa lifanikiwe kidhibiti maambukizi mapya ...
Read moreMwanafunzi anayejiunga na kidato cha kwanza katika shule ya upili ya Kangaru kaunti ya Embu nchini Kenya aliwasili shuleni ...
Read moreRaia mmoja wa Ethiopia na baba wa watoto 11 amekuwa maarufu kwenye mitandao ya kijamii nchini humo baada ya ...
Read moreMwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba amesema anavutiwa na utendaji kazi wa Rais Samia Suluhu Hassan, ...
Read moreAll rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.