ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, February 7, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

AHUKUMIWA MIAKA 30 JELA KWA KUMBAKA BINTI YAKE WA MIAKA 10

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
May 20, 2022
in HABARI
0
AKAMATWA KWA KUCHEZEA SEHEMU ZA SIRI ZA MTOTO WA MIEZI 11
0
SHARES
256
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

RelatedPosts

HIZI HAPA JEZI MPYA ZA SIMBA ZA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

HIZI HAPA JEZI MPYA ZA SIMBA ZA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

Feb 7, 2023

HAJI MANARA AIJIA JUU BODI YA LIGI KISA CLEAN SHEETS, SIMBA SC

Feb 7, 2023

DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”

Feb 7, 2023
Load More

Mahakama ya Wilaya ya Ludewa imemhukumu kutumikia kifungo cha mika 30 jela Dalali Minze Sengerema (36) mkazi wa kijiji cha Ngelenge wilayani Ludewa Mkoani Njombe kwa kosa la kumbaka binti yake mwenye umri wa miaka 10 ambaye jina lake limehifadhiwa.

–

Akisomewa hukumu hiyo na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa mahaka ya Wilaya hiyo Isaac Ayengo imeelezwa kuwa mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo Novemba 15, 2021 majira ya saa 6 usiku ambapo aliingia chumbani kwa binti huyo na kumbaka huku akimtishia kutosema kwa mtu yeyote na endapo atafanya hivyo atamuua na kumtupa ziwani.

–

Amesema kwa mujibu wa maelezo ya mke wa mtuhumiwa huyo alieleza kuwa mume wake huyo alitoka nje kujisaidia majira hayo ya usiku lakini akachelewa kuingia ndani naye akaamua kutoka ndipo akakutana na mume wake huyo akitokea chumbani kwa mtoto huyo.

–

Baadae aligundua kubakwa kwa mtoto wake huyo ndipo akatoa taarifa katika vyombo husika na mtoto huyo alifanyiwa vipimo na kubainika kuingiliwa kimwili. Awali mwendesha Mashtaka Asifiwe Asajile aliomba mahakama kutoa adhabu kali kwa mtuhumiwa ili iwe fundisho kwake na kwa wote wenye tabia kama hizo.

ADVERTISEMENT

–

Hakimu Ayengo amesema amesikiliza ushahidi wa pande zote mbili na huku ushahidi wa upande wa mashtaka ukionekana kuwa na nguvu na kuamua kutoa hukumu hiyo kwa mujibu wa kifungu cha sheria namba 130 (1) (2) (e) na 131 (1) cha Kanuni ya Adhabu Sura ya 16 marejeo ya 2019.

–

ADVERTISEMENT

Aidha katika utetezi wake mtuhumuwa huyo aliiomba mahakama imsamehe kwakuwa ana watoto 13 wenye umri chini ya miaka 18 wanaomtegemea pia na yeye ni yatima.

 

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi (Kijana Mchapa Kazi) WhatsApp; 0689232546 Email ;shabanimohamed932@gmail.com

Related Posts

HIZI HAPA JEZI MPYA ZA SIMBA ZA LIGI YA MABINGWA AFRIKA
HABARI

HIZI HAPA JEZI MPYA ZA SIMBA ZA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

by Shabani Rapwi
Feb 7, 2023
TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA
HABARI

TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

by ALFRED MTEWELE
Feb 7, 2023
YANGA KWENDA TUNISIA LEO NA WACHEZAJI 25
HABARI

HAMTAMUONA KOCHA NABI AIRPORT – ALLY KAMWE

by Shabani Rapwi
Feb 7, 2023
YANGA KWENDA TUNISIA LEO NA WACHEZAJI 25
HABARI

YANGA KWENDA TUNISIA LEO NA WACHEZAJI 25

by Shabani Rapwi
Feb 7, 2023
QUEIROZ KOCHA MPYA QATAR
HABARI

QUEIROZ KOCHA MPYA QATAR

by Shabani Rapwi
Feb 7, 2023
ATSU APATIKANA AKIWA HAI KUTOKA KWENYE VIFUSI
HABARI

ATSU APATIKANA AKIWA HAI KUTOKA KWENYE VIFUSI

by Shabani Rapwi
Feb 7, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2022
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In