ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, February 7, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

AJIUNGA NA CHUO KIKUU AKIWA NA MIAKA 69

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
May 20, 2022
in HABARI
0
AJIUNGA NA CHUO KIKUU AKIWA NA MIAKA 69
0
SHARES
108
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

RelatedPosts

HIZI HAPA JEZI MPYA ZA SIMBA ZA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

HIZI HAPA JEZI MPYA ZA SIMBA ZA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

Feb 7, 2023

HAJI MANARA AIJIA JUU BODI YA LIGI KISA CLEAN SHEETS, SIMBA SC

Feb 7, 2023

DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”

Feb 7, 2023
Load More

Raia mmoja wa Ethiopia na baba wa watoto 11 amekuwa maarufu kwenye mitandao ya kijamii nchini humo baada ya kujiunga na chuo kikuu akiwa na umri wa miaka 69.

–

Akiwa yatima katika umri mdogo, Tadesse Ghichile, hakuweza kuendelea na elimu rasmi baada ya kumaliza shule ya sekondari. Sasa, anahudhuria masomo ya Chuo Kikuu cha Jimma kilichopo sehemu ya magharibi ya nchi ambako anatarajia kuhitimu na shahada ya matibabu.

–

Tadesse Ghichile ni mkulima. Asipokuwa shambani, hufanya kazi kwenye mgahawa katika kijiji chake ili kutunza familia yake. Lakini alipata muda wa kufanya na kufaulu mtihani wa kitaifa wa kuingia chuo kikuu.

ADVERTISEMENT

–

Miaka 10 iliyopita ndipo alipoamua kurudi katika elimu yake rasmi ambayo aliiacha akiwa darasa la nane kufuatia kifo cha wazazi wake. Kwa muda mrefu alikuwa amepata ugumu kurudi shuleni haswa baada ya kuanzisha familia. Lakini mara tu aliporudi, alidhamiria kumaliza hadi mwisho.

–

Sasa, amejiandikisha katika moja ya chuo kikuu kikubwa zaidi nchini humo. Aliiambia BBC kuwa amekuwa na uungwaji mkono mkubwa kutoka kwa wanafunzi wenzake katika miaka michache iliyopita na kwamba anatazamia kile kitakachotokea mbeleni.

 

ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi (Kijana Mchapa Kazi) WhatsApp; 0689232546 Email ;shabanimohamed932@gmail.com

Related Posts

HIZI HAPA JEZI MPYA ZA SIMBA ZA LIGI YA MABINGWA AFRIKA
HABARI

HIZI HAPA JEZI MPYA ZA SIMBA ZA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

by Shabani Rapwi
Feb 7, 2023
TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA
HABARI

TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

by ALFRED MTEWELE
Feb 7, 2023
YANGA KWENDA TUNISIA LEO NA WACHEZAJI 25
HABARI

HAMTAMUONA KOCHA NABI AIRPORT – ALLY KAMWE

by Shabani Rapwi
Feb 7, 2023
YANGA KWENDA TUNISIA LEO NA WACHEZAJI 25
HABARI

YANGA KWENDA TUNISIA LEO NA WACHEZAJI 25

by Shabani Rapwi
Feb 7, 2023
QUEIROZ KOCHA MPYA QATAR
HABARI

QUEIROZ KOCHA MPYA QATAR

by Shabani Rapwi
Feb 7, 2023
ATSU APATIKANA AKIWA HAI KUTOKA KWENYE VIFUSI
HABARI

ATSU APATIKANA AKIWA HAI KUTOKA KWENYE VIFUSI

by Shabani Rapwi
Feb 7, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2022
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In