Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Ibraah ambaye yuko chini ya Label ya Konde Gang ametangaza rasmi jina la Album yake ya kwanza “THE KING OF NEW SCHOOL”
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT
Pia Chinga ameweka wazi kwamba Album hiyo Imekamilika tayari na amewashukuru kwa kuendelea kuwa nae siku zote.
“Finally My First Album is Done! Introducing to you “THE KING OF NEW SCHOOL” Thanks God 🙏🏼 Haikuwa Rahisi! Shukrani Kwa Wote Waliosababisha Kukamilisha Hili! Thanks to my management @kondegang ❤️ Ahsanteni Mashabiki Ambao Siku Zote Mmekuwa Namimi!! Thank you So much ❤️ #TheKingOfNewSchool #CHINGA👽“