Benki ya CRDB imepongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu kutokana na Sera zake za Kukuza biashara ikiwemo ya diplomasia ya kiuchumi ya kuwezesha Sekta binafsi.
–
Mkurugenzi Mtendaji Wa CRDB, Abdulmajid Nsekele ameeleza hayo jijini Arusha ikiwa ni siku chache kabla Mkutano wa ishirini na saba wa wanahisa wa banki hiyo utakaofanyika siku ya Jumamosi jijini Arusha.
–
Amesema sera hizo zitasaidia Nchi kufunguka kiuchumi Kwa kuvutia Wawekezaji Mbalimbali huku CRDB ikiwe mstari Wa mbele kuchangamkia fursa hizo.
ADVERTISEMENT