ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, July 2, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

Benki ya NMB yashiriki na kudhamini Wiki ya Ubunifu Dodoma

I am Krantz by I am Krantz
May 17, 2022
in HABARI
0
Benki ya NMB yashiriki na kudhamini Wiki ya Ubunifu Dodoma
0
SHARES
59
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kati – Nsolo Mlozi akizungumza na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman, alipotembelea Banda la NMB wakati wa maonesho ya Wiki ya Ubunifu yanayoendelea katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma.

RelatedPosts

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI

Jul 2, 2022

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMAMOSI JULAI 2, 2022

Jul 2, 2022

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

Jul 2, 2022
Load More

 

Maafisa wa NMB katika picha ya pamoja wakiwa kwenye banda lao, wakati wa maonesho ya Wiki ya Ubunifu yanayoendelea jijini Dodoma.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia – Prof. Adolf Mkenda ameishukuru Benki ya NMB kwa kushiriki na kudhamini maonesho ya Kitaifa ya Wiki ya Ubunifu, yaliyoandaliwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolijia,
kuanzia tarehe 20 Mei katika uwanja wa Jamhuri – jijini Dodoma.

Aidha, Profesa Mkenda aliongeza kuwa, benki hiyo imekuwa karibu na Wizara hiyo hata katika utoaji wa mikopo ya Elimu ya Juu kwa wanafunzi kuanzia ngazi ya Diploma mpaka Shahada, hivyo kusaidia wanafunzi wengi kujiunga na vyuo kuanzia mwaka ujao wa masomo.

Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kati – Nsolo Mlozi alimueleza Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman alipotembelea Banda la NMB kuwa, NMB inathamini ubunifu na imekuwa ikiibuka na masuluhisho bora ambayo yamekuwa na manufaa kwa Benki na Sekta ya Fedha kwa ujumla.

ADVERTISEMENT

“Tunathamini sana ubunifu kwani kwa kupitia hiyo, tumewaletea wateja wetu na watanzania kwa ujumla masuluhisho kama Mshiko Fasta, Lipa Mkononi na NMB Pesa Wakala ambazo zinapunguza wingi wa wateja kufika matawini kupata huduma,” alisema Mlozi

Lakini pia, Nsolo alisema NMB imeandaa fursa maalum kwa wabunifu mbalimbali hususani wa masuluhisho ya kifedha kujaribu suluhishi zao za kiteknolojia kabla ya kuziingiza sokoni.

ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI
HABARI

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI

by Shabani Rapwi
Jul 2, 2022
NEYMAR KUONDOKA PSG
HABARI

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMAMOSI JULAI 2, 2022

by Shabani Rapwi
Jul 2, 2022
Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.
BIASHARA

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

by I am Krantz
Jul 2, 2022
AFARIKI DUNIA BAADA YA KUNASA KWENYE NYAYA ZA UMEME
HABARI

AFARIKI DUNIA BAADA YA KUNASA KWENYE NYAYA ZA UMEME

by Shabani Rapwi
Jul 1, 2022
MTUMISHI WA TANESCO AKUTWA GUEST AMEFARIKI
HABARI

MTUMISHI WA TANESCO AKUTWA GUEST AMEFARIKI

by Shabani Rapwi
Jul 1, 2022
SIKUKUU YA EID EL-ADH’HAA JULAI 10, 2022
HABARI

SIKUKUU YA EID EL-ADH’HAA JULAI 10, 2022

by Shabani Rapwi
Jul 1, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2022
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In