ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Sunday, June 26, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

BODI YA LIGI YAFANYA MABADILIKO YA RATIBA MECHI ZA LIGI KUU

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
May 16, 2022
in HABARI
0
BODI YA LIGI YAFANYA MABADILIKO MCHEZO WA DODOMA JIJI NA YANGA
0
SHARES
91
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

RelatedPosts

Auto Draft

NBC Wanogesha hafla ya kukabidhiwa Kombe Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, klabu ya Yanga SC j

Jun 26, 2022

ROSE REE AFUTE PICHA ZOTE ZA MCHUMBA WAKE

Jun 26, 2022

KAJALA ATOA AHAADI NZITO KWA HARMONIZE

Jun 26, 2022
Load More
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imefanya maboresho ya ratiba ya Ligi Kuu ya NBC katika michezo mitano kama ifuatavyo:
 
1. Mechi na. 189 Polisi Tanzania FC dhidi ya Biashara United FC itachezwa Mei 30, 2022 saa kumi (10:00) kamili jioni katika uwanja wa ushirika uliopo Kilimanjaro badala ya Mei 21, 2022 saa nane (8:00) kamili mchana kama ilivyokuwa awali
 
2. Mechi na. 191 Young Africans SC dhidi ya Mbeya Kwanza FC itachezwa Mei 20, 2022 saa moja (1:00) kamili usiku katika uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Dar es Salaam badala ya Mei 21, 2022 kama ilivyokuwa awali.
 
3. Mechi na. 196, Biashara United FC dhidi ya Young Africans SC itachezwa Mei 23, 2022 saa kumi (10:00) kamili jioni katika uwanja wa CCM Kirumba uliopo Mwanza badala ya Mei 24, 2022 kama ilivyokuwa awali.
 
4. Mechi na. 199 Simba SC dhidi ya KMC FC itachezwa Juni 19, 2022 saa moja (1:00) kamili usiku katika uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Dar es Salaam badala ya Mei 25, 2022 kama ilivyokuwa awali.
 
5. Mechi na. 223 KMC FC dhidi ya Mbeya Kwanza FC itachezwa Juni 22, 2022 saa kumi (10:00) kamili jioni katika uwanja wa Uhuru uliopo Dar es Salaam badala ya Juni 21, 2022 kama ilivyokuwa awali.
 
Sababu za maboresho haya ni:
1. Kupisha ratiba ya mechi za timu ya taifa (CAF AFCON 2023 QUALIFIERS).
 
2. Kupisha ratiba ya michezo ya kombe la shirikisho (ASFC) hatua ya nusu fainali.
 
3. Kuwahi tarehe ya kupeleka majina CAF Juni 30, 2022.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi (Kijana Mchapa Kazi) WhatsApp; 0689232546 Email ;shabanimohamed932@gmail.com

Related Posts

Auto Draft
HABARI

NBC Wanogesha hafla ya kukabidhiwa Kombe Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, klabu ya Yanga SC j

by I am Krantz
Jun 26, 2022
ROSE REE AFUTE PICHA ZOTE ZA  MCHUMBA WAKE
HABARI

ROSE REE AFUTE PICHA ZOTE ZA MCHUMBA WAKE

by Shabani Rapwi
Jun 26, 2022
KAJALA ATOA AHAADI NZITO KWA HARMONIZE
HABARI

KAJALA ATOA AHAADI NZITO KWA HARMONIZE

by Shabani Rapwi
Jun 26, 2022
HUYU NDIYO MWENYE WAFUASI WENGI ZAID TIKTOK
HABARI

HUYU NDIYO MWENYE WAFUASI WENGI ZAID TIKTOK

by Shabani Rapwi
Jun 26, 2022
ALICHO KISEMA LUKAMBA KUHUSU HARMONIZE
HABARI

ALICHO KISEMA LUKAMBA KUHUSU HARMONIZE

by Shabani Rapwi
Jun 26, 2022
CRDB BANK PAMOJA BONANZA ILIVYOFANA JIJINI DODOMA
BIASHARA

CRDB BANK PAMOJA BONANZA ILIVYOFANA JIJINI DODOMA

by I am Krantz
Jun 26, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2022
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In