Bondia Dmitry Bivol ametetea ubingwa wake wa dunia WBA light-heavyweight, baada ya kumtwanga kwa pointi, gwiji la Vitasa Saul “Canelo” Alvarez
–
Bivol ambaye ni raia wa Urusi (31), ameongeza idadi ya mapambano aliyocheza bila kupoteza na kufika 20 huku 11 kati ya hayo akishinda kwa knockouts
ADVERTISEMENT
–
Bingwa wa uzito mbalimbali Canelo, amepoteza pambano lake la kwanza tangu 2013 huku rekodi zake zikisomeka mapambano 57 ya ushindi, mawili akipigwa na sare ni mapambano mawili.
ADVERTISEMENT