Baada ya kusambaa kwa taarifa katika mitandao ya kijamii kuhusu Diwani wa Kata ya Kawe Mutta Rwakatare (43) Mkazi wa Mikocheni Kinondoni kutojulikana alipo tangu mwezi wa pili mwaka 2022.
ADVERTISEMENT
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Muliro Jumanne amesema Diwani huyo amepatikana akiwa kwa Mwanamke aitwaye Ashura Ally Matitu, miaka 43, Mzaramo mkazi wa Tabata darajani ambaye amedai kuwa ni Rafiki yake.
ADVERTISEMENT