ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, July 2, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

EQUITY BANK (T) IMEZINDUA RASMI TAWI LAKE KATIKA WILAYA YA KAHAMA MKOA WA SHINYANGA

I am Krantz by I am Krantz
May 25, 2022
in HABARI
0
0
SHARES
85
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

RelatedPosts

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI

Jul 2, 2022

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMAMOSI JULAI 2, 2022

Jul 2, 2022

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

Jul 2, 2022
Load More

KAHAMA, Jumatano tarehe 25 May 2022. Benki ya Equity  (T) imezindua rasmi tawi lake jipya wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga. Tawi hili lipo Kahama mjini jengo la MACHALI TOWER na huduma zote za kibenki zitakuwa zinapatikana kuanzia siku ya jumatatu mpaka jumamosi. Hatua hii ni moja ya muendelezo wa benki kuongeza wigo wake wa upatikanaji nchini ili kuweza kuwafikia wateja wote Tanzania na kuhakikisha kuwa tunatimiza dhamira yetu ya kubadilisha maisha ya kila Mtanzania. Uzinduzi huu umefanywa na mkuu wa wilaya ya Kahama ndugu Festo Kiswaga ukishuhudiwa na baadhi ya wageni waalikwa.

Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa tawi hilo, mkuu wa wilaya alisema,   “Hatua hii itatuongezea wigo wa mtandao wa utoaji huduma zetu ambazo ni nafuu zaidi nchini na hivyo kuendana na lengo letu la kukomboa Watanzania kiuchumi kwa kuhakikisha kuwa kila Mtanzania anatumia mifumo rasmi ya kifedha (financial inclusion).

Pia msemaji wa benki alisema “Akaunti zetu hazina makato ya mwezi na tuna viwango bora kabisa vya riba sokoni. Pia kupitia tawi hili huduma nyingi  zitatolewa ikiwemo kufungua akaunti na kupata mikopo mbalimbali” amesema Betty Kwoko.

ADVERTISEMENT

 

 

Kuhusu Benki ya Equity

Equity Bank (T) ni Benki yenye matawi 15 nchini ikiwa na zaidi ya wafanyakazi 1200 ukiwa ni moja ya uwekezaji mkubwa zaidi ulioanzia nchini Kenya na baadaye kusambaa katika nchi nyingine za Afrika ikiwemo Tanzania, Uganda, Ethiopia, Congo-DRC, Rwanda na Sudan ya Kusini. Kwa maelezo zaidi: grace.majige@equitybank.co.tz, 0688988110.

ADVERTISEMENT

 

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI
HABARI

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI

by Shabani Rapwi
Jul 2, 2022
NEYMAR KUONDOKA PSG
HABARI

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMAMOSI JULAI 2, 2022

by Shabani Rapwi
Jul 2, 2022
Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.
BIASHARA

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

by I am Krantz
Jul 2, 2022
AFARIKI DUNIA BAADA YA KUNASA KWENYE NYAYA ZA UMEME
HABARI

AFARIKI DUNIA BAADA YA KUNASA KWENYE NYAYA ZA UMEME

by Shabani Rapwi
Jul 1, 2022
MTUMISHI WA TANESCO AKUTWA GUEST AMEFARIKI
HABARI

MTUMISHI WA TANESCO AKUTWA GUEST AMEFARIKI

by Shabani Rapwi
Jul 1, 2022
SIKUKUU YA EID EL-ADH’HAA JULAI 10, 2022
HABARI

SIKUKUU YA EID EL-ADH’HAA JULAI 10, 2022

by Shabani Rapwi
Jul 1, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2022
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In