ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Friday, March 24, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

FAHAMU FAIDA 10 ZA KUFANYA MAPENZI KIPINDI CHA UJAUZITO

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
May 17, 2022
in HABARI
0
FAHAMU FAIDA 10 ZA KUFANYA MAPENZI KIPINDI CHA UJAUZITO
0
SHARES
458
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

RelatedPosts

BABA MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI WAKE

BABA MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI WAKE

Mar 24, 2023

WANAOKULA HADHARANI MCHANA WA RAMADHANI KUKAMATWA

Mar 24, 2023

HII KALI : KUISHI CHINI YA MAJI SIKU 100 KISA KUTAFUTA REKODI HII

Mar 24, 2023
Load More

Kama sio mjamzito au upo chini ya miaka 18 usisome makala hii.

Kuna watu walikuwa hawaamini kama unaweza kufanya tendo la ndoa ukiwa na ujauzito. Mwanamke akiwa na mimba anaruhusiwa kushiriki tendo la ndoa hata kama anatarajia kuzaa kesho yake.

Hakuna tatizo linalomzuiya kufanya hivyo,, baadhi ya wanawake wamekuwa wazito sana kufanya hivyo kwa kuwa na sababu mbalimbali na uoga mwingi. Bila ya kutambua kwamba wanazikosa faida hizi.

–

Faida zenyewe ni kama zifuatazo.

1. Husaidia uchungu mzuri, na kupona mapema :kufika kileleni kwa wakati wa tendo la ndoa huambatana na kubana kwa misuli ya nyonga hii husaidia kuweka imara misuli ya nyonga ambayo ni muhimu sana wakati wa kusukuma mtoto na baada ya kuzaa.

Maana misuli hii ikiwa legevu au kutokuwa imara,mwanamke huweza kushindwa kuzaa kwa njia ya kawaida na hata baada ya kuzaa huweza kushindwa kuzuiya haja ndogo (mkojo) usitoke wenyewe au kuvuja damu kwa mda mrefu sana.

–

2. Hupunguza kwenda hovyo kutoa haja ndogo (kukojoa au kujikojolea) Wakati wa ujauzito mtoto anapo zidi kua mkubwa anazidi kukandamiza kibofu cha mkojo,hii humfanya mwanamke mwenye ujauzito aende chooni mara kwa mara, wakati mwengine hata akipiga chafya au kukohoa basi mkojo unaweza kutoka wenyewe,. Tendo la ndoa huibana misuli ya nyonga na kuzuiya hali hii.

–

3. Huzuiya uwezekano wa kupata kifafa cha mimba. Tafiti zinaonyesha kwamba aina ya protini inayopatikana kwenye mbegu za mwanaume huongeza kinga mwilini mwa mwanamke na kuzuiya uwezekano wa kupata kifafa cha mimba, ambacho kinaua wanawake wengi sana.

–

ADVERTISEMENT

4. Hutibu tatizo la kufika kileleni kwa shida, Kipindi cha ujauzito chuchu za mwanamke na kinembe chake huvimba na kuongezeka hisia maradufu huku kiwango cha homoni na Oestrogen kikiwa juu sana. Hii humfanya kufika kileleni kirahisi sana kuliko mwanzoni.

–

5. Huwapa uwezo wa kujiamini:.. Kipindi cha ujauzito mwanamke hupata hofu sana na kutojiamini na mwili wake,, hupata wasiwasi kwamba mwili wake unaharibika , hivyo kitendo cha mwanaume wake kuendelea kushiriki tendo la ndoa naye humpa kujiamini kwamba mwili wake bado uko kwenye hali nzuri na anapendwa.

–

6. Hupunguza msongo wa mawazo:,, Kipindi cha ujauzito wanawake wengi huwaza sana kuhusu kesho yao, (kwa mfano,… Je swala la uchumi litakuaje?, mwili wangu utakuaje,, Je nitapa jinsia ninayoitegemea? Na kadhalika)
Tendo la ndoa hutoa homoni ya upendo kwa jina la Oxytocn, homoni hii hupunguza mawazo na humpa amani mjamzito.

ADVERTISEMENT

–

7. Huongeza upendo na mshikamano kati ya wapenzi:,,, Katika hali ya kawaida wanandoa wakikwazana wanaweza wakapatana kwa kushiriki tendo la ndoa tu. Amani na upendo kipindi hiki ni muhimu sana, kwani kuna mtoto anakuja ambaye anatakiwa kuzaliwa huku baba na mama wakipatana kwa umoja.

–

8. Hukuanda na uchungu:.. Ukishiriki tendo la ndoa wakati wa tarehe zilikadiriwa zimefika unapata homoni moja, kutoka kwa mbegu za mwanaume kwa jina la Prostglandin.. Homoni hii huivisha mlango wa uzazi na kuanza kufunguka taratibu kujiandaa na uchungu.

–

9. Hutibu tatizo la kukosa usingizi:…. Wanawake wengi wajawazito huwa na dalili mbalimbali za maumivu, na kuumwa sehemu tofauti za mwili na msongo wa mawazo,, hii inaweza kuwakosesha usingizi kabisa…. Tendo la ndoa huweza usingizi mzuri.

–

10.Hupunguza presha ya damu:….Kipindi cha tendo la ndoa Presha ya damu hushuka kwenye kiwango kizuri sana. Hii ni muhimu sana kwa wanawake wenye hatari ya kupata kifafa cha mimba , kama wanene sana,, wenye kisukari, au wenye historia za ugonjwa wa presha kwenye koo zao.

–

Mwisho:.. Hakikisha unatumia staili za tendo la ndoa ambazo hazimuumizi mama au mwana,. Yani hakikisha haulalii tumbo lako hasa mimba ikiwa kubwa. Kuna staili muhimu kipindi hiki kwa mwanamke mjauzito. Mfano (kama kulala upande mmoja kisha unauwenua mguu mmoja, au kuukalia taratibu kisha kufany tendo la ndoa .

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

BABA MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI WAKE
HABARI

BABA MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI WAKE

by Shabani Rapwi
Mar 24, 2023
WANAOKULA HADHARANI MCHANA WA RAMADHANI KUKAMATWA
HABARI

WANAOKULA HADHARANI MCHANA WA RAMADHANI KUKAMATWA

by Shabani Rapwi
Mar 24, 2023
HII KALI : KUISHI CHINI YA MAJI SIKU 100 KISA KUTAFUTA REKODI HII
HABARI

HII KALI : KUISHI CHINI YA MAJI SIKU 100 KISA KUTAFUTA REKODI HII

by Shabani Rapwi
Mar 24, 2023
WANAUME WANAONYANYUA VITU VIZITO WATAJWA RIJALI ZAIDI
HABARI

WANAUME WANAONYANYUA VITU VIZITO WATAJWA RIJALI ZAIDI

by Shabani Rapwi
Mar 24, 2023
MWALIMU JELA MIAKA 30 KWA KUMLAWITI MWANAFUNZI
HABARI

MWALIMU JELA MIAKA 30 KWA KUMLAWITI MWANAFUNZI

by ALFRED MTEWELE
Mar 24, 2023
BENKI YA NBC YAZINDUA KAMPENI YA MKEKA WA USHINDI NA ATM ZA NBC
HABARI

BENKI YA NBC YAZINDUA KAMPENI YA MKEKA WA USHINDI NA ATM ZA NBC

by I am Krantz
Mar 24, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2022
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In