ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, February 7, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

GARI LIKIMSHUSHA KIONGOZI LIZIMWE – DKT. TULIA

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
May 17, 2022
in HABARI
0
SPIKA DKT. TULIA ATOA ONYO KALI KWA WABUNGE
0
SHARES
118
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

ADVERTISEMENT

 

RelatedPosts

HIZI HAPA JEZI MPYA ZA SIMBA ZA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

HIZI HAPA JEZI MPYA ZA SIMBA ZA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

Feb 7, 2023

HAJI MANARA AIJIA JUU BODI YA LIGI KISA CLEAN SHEETS, SIMBA SC

Feb 7, 2023

DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”

Feb 7, 2023
Load More
Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson awashauri Mawaziri na Naibu Mawaziri pamoja na viongozi wengine kuzima magari yao wanapokuwa hawayatumii/hawamo ndani ya magari ili kuunga serikali mkoano katika jitihada za kubana matumizi.
–
Amesema hayo bungeni jijini Dodoma akieleza kwamba kumekuwepo na utaratibu usio sahihi wa baadhi ya magari ya viongozi wanapokuwa bungeni wanayaacha yanaunguruma kwa muda wote wa vikao, jambo ambalo linaiongezea serikali mzigo wa gharama za mafuta.
–
“Tunatamani tuone magari ya kiongozi, yakishamshusha kiongozi, sio tu hapa bungeni, nchi nzima, awe ni mwenyekiti wa halmashauri, awe ni meya, awe ni katibu mkuu, ukiacha viongozi ambao kwa itifaki magari yao inabidi yaendelee kuwaka, magari mengine yakishamshusha kiongozi yazimwe na dereva ashuke,” amesema Dkt. Tulia.
–
Ameeleza kuwa gharama za mafuta zinaendelea kuwa kubwa kwa sababu ya kuacha magari yakiwaka hata yasipotumika wakati mwingine hadi kwa saa. “Tunatamani tuone mabadiliko kwenye hilo eneo,” amesema Dkt. Tulia akieleza kwamba mtu anapokuwa anaendesha gari lake akiwa kwenye foleni anazima, sasa kwanini gari la serikali aliache linaunguruma wakati halitumiki.
ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi (Kijana Mchapa Kazi) WhatsApp; 0689232546 Email ;shabanimohamed932@gmail.com

Related Posts

HIZI HAPA JEZI MPYA ZA SIMBA ZA LIGI YA MABINGWA AFRIKA
HABARI

HIZI HAPA JEZI MPYA ZA SIMBA ZA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

by Shabani Rapwi
Feb 7, 2023
TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA
HABARI

TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

by ALFRED MTEWELE
Feb 7, 2023
YANGA KWENDA TUNISIA LEO NA WACHEZAJI 25
HABARI

HAMTAMUONA KOCHA NABI AIRPORT – ALLY KAMWE

by Shabani Rapwi
Feb 7, 2023
YANGA KWENDA TUNISIA LEO NA WACHEZAJI 25
HABARI

YANGA KWENDA TUNISIA LEO NA WACHEZAJI 25

by Shabani Rapwi
Feb 7, 2023
QUEIROZ KOCHA MPYA QATAR
HABARI

QUEIROZ KOCHA MPYA QATAR

by Shabani Rapwi
Feb 7, 2023
ATSU APATIKANA AKIWA HAI KUTOKA KWENYE VIFUSI
HABARI

ATSU APATIKANA AKIWA HAI KUTOKA KWENYE VIFUSI

by Shabani Rapwi
Feb 7, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2022
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In