Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize hatimaye ameachiwa huru baada ya kushikiliwa katika kituo cha polisi Kileleshwa nchini Kenya.
–
Msanii huyo ameachiwa baada kudaiwa kupokea hela bila kufanya shoo kwenye vilabu kadhaa nchini humo na sasa ameachiwa na amekubali kufanya shoo hizo.
–
Harmonize baada ya kuachiwa amekwea pipa kuelekea Mombasa kutoka Nairobi ambapo anaenda kufanya show kwenye klabu volume.