ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, February 7, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

HOMA YA NYANI HAIPO TANZANIA

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
May 24, 2022
in HABARI
0
MAAMBUKIZI YA HOMA YA NYANI YAPANDA UINGEREZA
0
SHARES
173
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

RelatedPosts

HIZI HAPA JEZI MPYA ZA SIMBA ZA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

HIZI HAPA JEZI MPYA ZA SIMBA ZA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

Feb 7, 2023

HAJI MANARA AIJIA JUU BODI YA LIGI KISA CLEAN SHEETS, SIMBA SC

Feb 7, 2023

DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”

Feb 7, 2023
Load More

Wizara ya Afya Tanzania imesema hayupo wala hajawahi kuwepo Mgonjwa wa homa ya nyani Nchini Tanzania (Monkeypox) lakini hata hivyo imetaka Watu wote kuendelea kuchukua hatua za kujikinga na kuzuia magonjwa ya kuambukizwa na yale ya mlipuko ikiwa ni pamoja na usafi binafsi na wa mazingira.

–

Katika taarifa yake, Wizara ya Afya imewataka pia Wananchi kutogusa au kula mnyama anaeumwa au mzoga na vilevile kutogusa vitu vilivyotumika na mnyama mgonjwa au mzoga.

–

ADVERTISEMENT

“May 16, 2022, Shirika la Afya Duniani lilitoa taarifa ya kuwepo kwa  mlipuko kwa Monkeypox nchini Uingereza na mpaka kufikia May 20, 2022 Watu 38 duniani walithibitika kuwa na ugonjwa huo ambapo Uingereza walikua 9, Ubelgiji (2), Ufaransa (1), Italia (1), Ureno (14), Hispania (7), Uswisi (1), Canada (2) na Marekani (1), kati ya wagonjwa hao 38, wawili (2) lakini hakukuwa na kifo chochote.

–

ADVERTISEMENT

“Monkeypox ni ugonjwa unaotokea mara nyingi kwenye nchi za Afrika ya kati na Afrika ya Magharibi kweye misitu ya mvua za kitropiki ambapo wanyama kama nyani, panya na kindi wenye virusi hivyo ndipo wanapoishi ambapo Binadamu anaambukizwa baada ya kugusa mnyama mwenye maambukizi.

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi (Kijana Mchapa Kazi) WhatsApp; 0689232546 Email ;shabanimohamed932@gmail.com

Related Posts

HIZI HAPA JEZI MPYA ZA SIMBA ZA LIGI YA MABINGWA AFRIKA
HABARI

HIZI HAPA JEZI MPYA ZA SIMBA ZA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

by Shabani Rapwi
Feb 7, 2023
TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA
HABARI

TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

by ALFRED MTEWELE
Feb 7, 2023
YANGA KWENDA TUNISIA LEO NA WACHEZAJI 25
HABARI

HAMTAMUONA KOCHA NABI AIRPORT – ALLY KAMWE

by Shabani Rapwi
Feb 7, 2023
YANGA KWENDA TUNISIA LEO NA WACHEZAJI 25
HABARI

YANGA KWENDA TUNISIA LEO NA WACHEZAJI 25

by Shabani Rapwi
Feb 7, 2023
QUEIROZ KOCHA MPYA QATAR
HABARI

QUEIROZ KOCHA MPYA QATAR

by Shabani Rapwi
Feb 7, 2023
ATSU APATIKANA AKIWA HAI KUTOKA KWENYE VIFUSI
HABARI

ATSU APATIKANA AKIWA HAI KUTOKA KWENYE VIFUSI

by Shabani Rapwi
Feb 7, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2022
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In