KLABU AC Milan imethibitisha kuwa mchezaji wake Zlatan Ibrahimović atakuwa nje kwa miezi saba hadi nane baada ya kufanyiwa upasuaji wa kifundo cha mguu.
ADVERTISEMENT
–
Ibra ameisaidia timu hiyo kushinda taji lake la kwanza Serie A ndani ya miaka 11 huku likiwa ni taji lao la 19 kwenye historia ya klabu hiyo yenye maskani yake jijini Milan, Italia.
ADVERTISEMENT