ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, July 2, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

JAMAA ALIYEUA MKE KWA KUMPIGA RISASI MWANZA AJIUA…MKE HAKUPOKEA SIMU ZA MMEWE MARA 37

I am Krantz by I am Krantz
May 31, 2022
in HABARI, MICHEZO
0
Rais Biden na Mkewe Watembelea Msiba wa Wanafunzi Waliopigwa Risasi
0
SHARES
133
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

 

Swalha enzi za uhai wake

RelatedPosts

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI

Jul 2, 2022

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMAMOSI JULAI 2, 2022

Jul 2, 2022

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

Jul 2, 2022
Load More

Mwanaume aitwaye Said Oswayo anayedaiwa kumuua kwa kumpiga risasi kadhaa mke wake Swalha Salum (28)  mkazi wa Kirumba jijini Mwanza usiku wa Jumamosi Mei 28, 2022 amekutwa amejiua.

Wanandoa hao walifunga pingu za maisha Disemba 30, 2021.  

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Mairi Makori amethibitisha kujiua kwa Said Oswayo ambaye alikuwa anasakwa kwa mauaji ya mke wake na kwamba mwili wake umekutwa ndani ya Ziwa Victoria kwenye ufukwe wa Rock Beach jijini Mwanza ukiwa na majeraha ya risasi kichwani.

Kamanda Makori amesema mwili huo ulikutwa unaelea ufukweni mwa Ziwa Victoria ufukwe wa Rock Beach ambapo Jeshi la Polisi lililazimika kuwatafuta ndugu kwa utambulisho na kuthibitisha kuwa mtu huyo ndiye mtuhumiwa aliyekuwa anasakwa kwa mauaji ya mke wake.

Mdogo wa marehemu mwenye umri wa miaka 15 amesema kabla ya tukio hilo lililotokea usiku wa Jumamosi Mei 28, 2022 marehemu dada yake na mume wake (shemeji) Said Oswayo walikuwa na ugomvi huku sauti za majibizano zikisikika kutoka chumbani na baadaye walibaini mwili wa dada yake ukiwa kitandani ukivuja damu.

“Mimi na House girl wetu tulikuwa tukiandaa chakula cha usiku. Tuliwasikia dada na shemeji wakizozana kwa muda wa takribani nusu saa ndipo tukasikia milio ya kwanza ya risasi. Nilikimbilia chumbani kwao na kubisha hodi lakini hakukuwa na jibu nikaamua kuondoka. Muda mfupi baada ya milio ya kwanza ya risasi, kulisikika milio mingine na niliporejea tena kugonga mara ya pili mlango wa chumbani,shemeji alitoka na kuniambia kuwa hakuna tatizo niendelee tu shughuli zangu ila akasema wana mkwaruzano  kidogo kutokana na dada yangu kutopokea simu yake zaidi ya mara 37″,ameeleza mtoto huyo.

Mama mzazi wa mwanamke aliyefahamika kwa jina la Swalha ambaye ameuawa kwa kupigwa risasi saba kichwani na mume wake kwa sababu ya wivu wa mapenzi amesimulia mkasa mzima kilichopelekea kifo cha mwanaye.

Picha ya Marehemu Swalha akiwa na mume wake

Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo huko Jijini Mwanza na ndoa yao ilidumu kwa muda wa miezi mitano.

Zaidi tazama hapa kwenye video Mama wa Swalha akizungumzia zaidi.

CHANZO:EATV

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI
HABARI

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI

by Shabani Rapwi
Jul 2, 2022
NEYMAR KUONDOKA PSG
HABARI

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMAMOSI JULAI 2, 2022

by Shabani Rapwi
Jul 2, 2022
Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.
BIASHARA

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

by I am Krantz
Jul 2, 2022
AFARIKI DUNIA BAADA YA KUNASA KWENYE NYAYA ZA UMEME
HABARI

AFARIKI DUNIA BAADA YA KUNASA KWENYE NYAYA ZA UMEME

by Shabani Rapwi
Jul 1, 2022
MTUMISHI WA TANESCO AKUTWA GUEST AMEFARIKI
HABARI

MTUMISHI WA TANESCO AKUTWA GUEST AMEFARIKI

by Shabani Rapwi
Jul 1, 2022
SIKUKUU YA EID EL-ADH’HAA JULAI 10, 2022
HABARI

SIKUKUU YA EID EL-ADH’HAA JULAI 10, 2022

by Shabani Rapwi
Jul 1, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2022
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In