Orodha ya wanamuziki 10 wa Tanzania waliopata idadi kubwa ya watazamaji katika mtandao wa youtube kwa mwezi April 2022.
ADVERTISEMENT
1. Diamond Platnumz 40.3M
2. Harmonize 13.8M
3. Zuchu 8.9M
4. Marioo 8.1M
5. Rayvanny 7.3M
6. Mbosso 7.2M
7. Zabron Singers 4.2M
8. Alikiba 3.5M
9. Martha Mwaipaja 3M
10. Nandy 2.9M
Kwa mara ya kwanza Zuchu na Marioo wanampiku Rayvanny katika orodha ya wanamuziki waliotazamwa zaidi youtube kwa mwezi uliopita mwezi April, akishika nafasi ya 5 kutoka ya 3 mwezi uliiopita.
ADVERTISEMENT