RASMI : Liverpool imethibitisha kumsajili winga wa Fulham, Fabio Calvalho (19) kutoka Fulham kwa ada ya uhamisho inayotajwa kuwa pauni milioni 8.
–
Calvalho amesaini mkataba wa miaka mitano na atajiunga rasmi na Majogoo hao Julai Mosi.
–
Calvalho raia wa Ureno alifunga magoli 10 na kuisaidia kuirejejesha klabu hiyo kunako ligi kuu England.