Kabla sijaanza na madhara nianze na kuelezea kazi ya mate kinywani. Mate ni mchanganyiko wa maji, uteute na kimeng’enya kinachofahamika kama SALIVARY AMYLASE au PTYALIN.
–
1. Kazi ya maji yaliyo katika mate ni kuyeyusha chakula kinywani
2. Kazi ya ute ni kulainisha chakula kiwe rahisi kumeza
3. Kazi ya kimeng’enya (salivary amylase) ni kubadili wanga / kabohaidrete kuwa sukari rahisi maltose
Kwaiyo tunaona kazi kubwa ya mate ni kimeng’enya chakula.
–
Kinywa cha binadamu kimeundwa na mamia ya bacteria (oral micro flora) ambao ni rafiki kwa afya ya kinywa.
Pia katika mfumo wa uzazi wa wanawake kuna aina ya bacteria (lactobuciluss bacteria) pamoja na Fungus (candida albicans) ambao ni rafiki kwa mfumo wa uzazi wa mwanamke.
–
SASA TATIZO HUTOKEAJE?
Unapochukua mate na kuyaweka katika uke wa mwanamke unahamisha bacteria wanaopatikana katika mdomo na kuwaleta katika uke.
–
Kumbuka hao ni aina tofauti za bacteria hivyo hawawezi kuishi pamoja matokea yake hukinzana na husababisha either wageni au wenyeji kudhoofika
–
Wenyeji wanapodhoofika hufanya bacteria wageni kutawala eneo hilo na kwa kuwa bacteria hao sio eneo husika kwao kuishi huanza kuleta madhara makubwa katika uke na kupelekea aina mbali mbali za maambukizi katika via vya uzazi vya mwanamke.
–
Pia bacteria hao wakati mwingine huweza kuzoeana na kuzaa bacteria ambao ni chotara Ambao huwa wanaweza kuwa wapole au wakali sasa wakiwa wakali husababisha madhara makubwa wakati mwingine upelekea KANSA YA KIZAZI, UVIMBE na magonjwa mengine ya mfumo wa uzazi.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT