ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, July 2, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

Mama Dangote Amkubali Aaliyah Awe Mkwe Wake, Amuahidi Ndoa Awe Mvumilivu

I am Krantz by I am Krantz
May 25, 2022
in HABARI
0
Mama Dangote Amkubali Aaliyah Awe Mkwe Wake, Amuahidi Ndoa Awe Mvumilivu
0
SHARES
87
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Mtangazaji wa Wasafi TV, Aaliyah.

Mama Dangote; ni mama wa staa mkubwa wa muziki barani Afrika, Diamond Platnumz ambaye habari za ndani kabisa zinadai kwamba anamkubali kinoma mtangazaji wa Wasafi TV, Aaliyah awe mkwe wake.

RelatedPosts

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI

Jul 2, 2022

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMAMOSI JULAI 2, 2022

Jul 2, 2022

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

Jul 2, 2022
Load More

Kwa muda sasa kumekuwa na madai mazito kwamba, Diamond au Mondi anatoka kimapenzi na msanii wake, Zuchu ambapo madai hayo yanasemekana kumgombanisha Zuchu na Aaliyah ambao awali walikuwa marafiki wa kupika na kupakua huku wakiishi pamoja.

Lakini tangu kumekuwa na tetesi za Zuchu kutoka kimapenzi na Diamond, basi ushosti wao umegeuka uadui.

Sasa; kinachoendelea ni kwamba kwa sasa Aaliyah anashinda na kupika na kupakua na nyumbani kwa Mama Dangote huku akionesha upendo kama wote kwa familia hiyo.

Mama Dangote

Inadaiwa kuwa, kinachomfanya Aaliyah kuiganda familia hiyo ni baada ya Mama Dangote kumuahidi kwamba awe mvumilivu na kuwa na subira hadi pale Diamond atakapotangaza ndoa.

Kinachombeba Aaliyah ni kwamba anakubalika kwa Mama Dangote na dada wa Diamond, Esma Platnumz ambao kwa kawaida ndiyo huwa waamuzi wa mwisho juu ya ni mwanamke gani awe na kijana wao.

Hata hivyo, kwa upande wa Zuchu, watu wake wa karibu wanasema anachokifanya Aaliyah ni kumrusha roho Zuchu ambaye naye humuambii kitu kwa Diamond au Simba wa Tandale.

Inaelezwa kwamba, anachokifanya Zuchu ni kuendelea kumkoleza Diamond kwa mahaba tele na vijizawadi vya hapa na pale ili kumfanya asisikie la mtu kwake na mpaka sasa jamaa huyo amekaa kwenye kumi na nane zake.

ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

STORI NA SIFAEL PAUL, IJUMAA WIKIENDA

GLOBAL PUBLISHERS

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI
HABARI

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI

by Shabani Rapwi
Jul 2, 2022
NEYMAR KUONDOKA PSG
HABARI

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMAMOSI JULAI 2, 2022

by Shabani Rapwi
Jul 2, 2022
Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.
BIASHARA

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

by I am Krantz
Jul 2, 2022
AFARIKI DUNIA BAADA YA KUNASA KWENYE NYAYA ZA UMEME
HABARI

AFARIKI DUNIA BAADA YA KUNASA KWENYE NYAYA ZA UMEME

by Shabani Rapwi
Jul 1, 2022
MTUMISHI WA TANESCO AKUTWA GUEST AMEFARIKI
HABARI

MTUMISHI WA TANESCO AKUTWA GUEST AMEFARIKI

by Shabani Rapwi
Jul 1, 2022
SIKUKUU YA EID EL-ADH’HAA JULAI 10, 2022
HABARI

SIKUKUU YA EID EL-ADH’HAA JULAI 10, 2022

by Shabani Rapwi
Jul 1, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2022
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In