ADVERTISEMENT
Spika wa Bunge Dkt. Tulia amesema ni marufuku kuimba ndani ya Bunge kama ilivyo kupiga magoti na sarakasi, ameyasema haya baada ya Mbunge Musukuma kuanza kuimba wimbo wa kumpongeza Rais Samia kwa kutajwa miongoni mwa Viongozi wenye ushawishi Duniani na kutunukiwa Tuzo ya mafanikio.
ADVERTISEMENT