ADVERTISEMENT
Mbunge kutoka chama tawala cha Conservative Party cha Uingereza, Neil Parish ametangaza kujiuzulu baada ya kukiri kuwa alitazama video za ngono kwenye simu yake ya mkononi akiwa Bungeni.
–
Parish (65) ambaye ni mwenyekiti wa Kamati ya Mazingira na Chakula alisema kuwa alikuwa akijaribu kuangalia tovuti ya trekta mtandaoni, lakini aliingia kwenye tovuti ya ponografia (ya video za ngono) yenye jina linalofanana kama la trekta na kuitazama kidogo tu.
ADVERTISEMENT