ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, March 20, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

MBUNGE BONAH AIWEKA MTEGONI KAMATI YA UJENZI WA KITUO CHA POLISI

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
May 2, 2022
in HABARI
0
MBUNGE BONAH AIWEKA MTEGONI KAMATI YA UJENZI WA KITUO CHA POLISI
0
SHARES
172
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

MBUNGE wa Jimbo la Segerea Bonah Ladslaus Kamoli, ameiweka mtegoni Kamati ya Ujenzi wa Kituo Cha Polisi Segerea iliyokabidhiwa pesa Mabati na nondo kwa ajili ya kutekeza mradi wa kituo cha Polisi Segerea daraja C.
–
Mbunge Bonah Ladslaus Kamoli, alitoa kauli hiyo Leo katika ziara yake Jimbo la Segerea kukagua Miradi ya maendeleo pamoja na vituo vya Afya.
–
“Serikali ya awamu ya nne nilikuja katika Kata ya Segerea na Waziri Masauni ,Mkuu wa Majeshi wakati huo tukichagia pesa ,Mabati na nondo katika harambe ya ujenzi wa kituo cha Polisi lakini mpaka Sasa ujenzi wake umekwama ” alisema Bonah.
–
Mbunge Bonah alimwagiza Afisa Mtendaji wa kata Segerea kuunda Kamati kufatilia pesa za ujenzi na Mabati na nondo zimekwenda wapi mpaka Sasa ambazo zilikuwa zinajenga kituo hicho Cha kisasa daraja C “alisema Bonah


Jimbo la Segerea lina Kata 13 ndio Jimbo lenye Wakazi wengi Wilaya ya Ilala lakini hakuna kituo Kikuu Cha Polisi mikakati ya Mbunge wa Jimbo hilo imefanikiwa kupata eneo kwa ajili ya ukeketaji wa kituo cha Polisi ambapo ukeketaji wa ujenzi wake umekwama Kamati ya Ujenzi kudaiwa kushindwa kuendeleza ujenzi huo.
–
Katika ziara hiyo Mbunge Bonah alitembelea Kata ya Segerea kuangalia ujenzi wa kituo cha Afya Kata ya Kinyerezi kuangalia ujenzi wa kituo cha Afya na daraja la kwa Masisita Pamoja na Ujenzi wa Kituo Cha AFYA Kiwalani .
–
Mbunge Bonah Ladslaus Kamoli alisema ziara hiyo ni sehemu ya ziara yake Jimbo la Segerea kufatilia utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM kufatilia miradi ya Chama.

RelatedPosts

RJ THE DJ VIFO VINAONGEZA MSONGO WA MAWAZO

ROMY JONS AOMBA MSAMAHA

Mar 20, 2023

MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”

Mar 20, 2023

WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA

Mar 20, 2023
Load More

 

ADVERTISEMENT

NA HERI SHAABAN (SEGEREA)

ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

RJ THE DJ VIFO VINAONGEZA MSONGO WA MAWAZO
HABARI

ROMY JONS AOMBA MSAMAHA

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”
HABARI

MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”

by ALFRED MTEWELE
Mar 20, 2023
WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA
HABARI

WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
TMA YATOA TAHADHARI MVUA KUBWA MIKOA HII KUANZIA LEO NA KESHO
HABARI

TMA YATOA TAHADHARI MVUA KUBWA MIKOA HII KUANZIA LEO NA KESHO

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
WATU 5 WASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA WIZI MAFUTA SGR
HABARI

WATU 5 WASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA WIZI MAFUTA SGR

by ALFRED MTEWELE
Mar 20, 2023
MARUFUKU KUTOA FEDHA UPATE DHAMANA POLISI
HABARI

MARUFUKU KUTOA FEDHA UPATE DHAMANA POLISI

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2022
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In