ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, March 28, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Mimba zangu nne zilitoka kwa mikosi, ila sasa nina watoto wawili

I am Krantz by I am Krantz
May 9, 2022
in HABARI
0
Mimba zangu nne zilitoka kwa mikosi, ila sasa nina watoto wawili
0
SHARES
132
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Jina langu ni Tausi mkazi wa Tanga, kwa sasa ni Mama wa watoto wawili ambao nawapenda sana kutokana na mazingara ambayo nilipitia hadi kuwapata.Kuna wakati nawatazama watoto wangu na kujikuta machozi yakinitoka, si machozi ya uchungu bali machozi ya furaha, ni kitu ambacho kila siku nashukuru maana naona kwangu ni zaidi ya miujiza.

 

RelatedPosts

TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION  KUENDELEZA MAHUSIANO BORA NA WADAU KATIKA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION KUENDELEZA MAHUSIANO BORA NA WADAU KATIKA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

Mar 27, 2023

NALA kuwekeza zaidi ya Sh. Bilioni 2 baada ya kupata leseni ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT)

Mar 27, 2023

Naibu Waziri aipongeza Benki ya NBC kwa kusaidia maendeleo ya michezo

Mar 27, 2023
Load More

Ukisema uchungu wa mwana aujuaye mzazi, basi mimi nahisi uchungu huo naujua mimi kuliko mwanamke yeyote yule, naona kama nimepitia changamoto sana katika uzazi wangu.
Nasema hiyo kwa sababu nilipobeba ujauzito wangu wa kwanza, mimba iliharibika baada ya miezi mitatu, Madaktari waliniambia ni jambo la kawaida huwa linawatokea wanawake wengi. Nilishauriwa kupumzika kwa muda kabla ya kuamua kubeba ujauzito mwingine kwa ajili ya kulinada afya yangu.

Kweli nilipumzika na baada ya zaidi ya mwaka mmoja nilibeba ujauzito mwingine nikiwa na matumaini ya kuitwa mama, lakini nao ulitoka baada ya miezi saba. Nilihuzunika sana maana ilikuwa imesalia miezi miwili niweze kujifungua lakini haikuwa hivyo, Madaktari walinifanyia uchunguzi wakaniambia sina tatizo lolote.

Nilikuja tena kubeba ujauzito mwingine, huu nao ndio uliharibika mapema zaidi, ukiwa ni miezi mitatu tu nao ulitoka, nilikuwa nikimtazama mume wangu napata mawazo zaidi na kuhisi anaweza kuniacha na kwenda kuzaa na mwanamke mwingine nje.

Hatimaye nikabeba tena ujauzito mwingine ambao nilikuwa na wasiwasi mwingi, huu ulikaa miezi sita nao ukawa umeharibika, nilikuwa na msongo wa mawazo hadi nikaamua kuacha kazi ili kujipa mapumziko.

ADVERTISEMENT

Kuna siku wifi yangu ambaye ameolewa huko Kericho nchini Kenya alikuja kunitembelea nyumbani, nilimuueleza kuhusu hali yangu, alinipa pole sana na kuniambia kuna Daktari wa mitishamba toka Kericho nchini Kenya anaitwa Dr. Kiwanga anaweza kunisaidia.

Mume wangu alipotoka kazini nilimueleza kuhusu hilo aliloniambia wifi yangu, mume wangu alikubali, hivyo kesho yake tukapanda Basi asubuhi na mapema kuelekea Kericho. Nashukuru tulifika salama na kupokelewa vizuri, tulionana na Dr. Kiwanga na kumueleza jinsi ambavyo mimba zangu zimekuwa zikiharibika.

Dr. Kiwanga alifanya ganga ganga zake kisha baada ya muda aliniambia nyumba tuliyopanga ndio ina mikosi, hivyo tuhame mara moja, kisha alinipatia na dawa nyingine za kutumia. Nilirejea nyunbani na kumueleza hilo mume wangu, tuliamua kuhama kwenye nyumba ile baada wiki chache.

Kweli baada ya kuhama niliweza kubeba ujauzito mwingine ambao ulikuwa ni watano, nilikuwa na uwoga mwingi na mashaka sana hata pale nilipoumwa homa ya kawaida tu nilihisi ndio inatoka. Nashukuru nilijifungua salama mtoto wangu wa kwanza ambaye niliamua kumpa jina la Shukrani.
Baada ya mwaka mmoja na nusu nilibeba ujauzito mwingine na kujifungua salama mtoto wangu huyu wa pili, kwa kipekee zaidi nashuhudia kuwa Dr. Kiwanga amekuwa mtu muhimu sana wenye maisha yangu.

Kumbuka Dr. Kiwanga anaweza kukusaidia kupata ujauzito, kumlinda mume au mke, kumalima migorogoro ndani ya ndoa, kukupa mvuto wa kimapenzi na mengineo. Kwa mawaziliano zaidi mtumie barua pepe; kiwangadoctors@gmail.com, tembelea tovuti yake; www.kiwangadoctors.com au piga simu +254 769404965.
Mwisho.

ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION  KUENDELEZA MAHUSIANO BORA NA WADAU KATIKA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA
HABARI

TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION KUENDELEZA MAHUSIANO BORA NA WADAU KATIKA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

by Ally Hamis Zingizi
Mar 27, 2023
NALA kuwekeza zaidi ya Sh. Bilioni 2 baada ya kupata leseni ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT)
HABARI

NALA kuwekeza zaidi ya Sh. Bilioni 2 baada ya kupata leseni ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT)

by I am Krantz
Mar 27, 2023
Naibu Waziri   aipongeza Benki ya NBC kwa kusaidia maendeleo ya  michezo
HABARI

Naibu Waziri aipongeza Benki ya NBC kwa kusaidia maendeleo ya michezo

by I am Krantz
Mar 27, 2023
MZEE WA MIAKA 92 AFUNGA NDOA YA TANO MWAKA MMOJA BAADA YA NDOA NNE KUVUNJIKA
HABARI

MZEE WA MIAKA 92 AFUNGA NDOA YA TANO MWAKA MMOJA BAADA YA NDOA NNE KUVUNJIKA

by Shabani Rapwi
Mar 27, 2023
BAKWATA YASHIKILIA MSIMAMO NDOA MIAKA 14
HABARI

BAKWATA YASHIKILIA MSIMAMO NDOA MIAKA 14

by Shabani Rapwi
Mar 27, 2023
MOURINHO KOCHA BORA WA KARNE – ÖZIL
HABARI

MOURINHO KOCHA BORA WA KARNE – ÖZIL

by Shabani Rapwi
Mar 27, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2022
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In