Mwekezaji na Rais wa heshima wa klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji (Mo Dewji) ametunukiwa Udaktari wa heshima wa Humane Letters kutoka kwa Rais wa Chuo Kikuu cha Georgetown, John DeGioia na Shule ya Biashara ya Georgetown McDonough.
–
ADVERTISEMENT
Mo Dewji ametukiwa udaktari wa heshima baada ya uongozi wa Chuo Kikuu cha Georgetown kupendezwa na matendo ya kibinadamu na kijamii ambayo Mo Dewji amekuwa akiyafanya.
ADVERTISEMENT