ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, February 7, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

MSIMU HUU TIMU NYINGI NI DHAIFU – AHMED ALLY

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
May 6, 2022
in HABARI
0
MSIMU HUU TIMU NYINGI NI DHAIFU – AHMED ALLY
0
SHARES
192
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

 

RelatedPosts

HIZI HAPA JEZI MPYA ZA SIMBA ZA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

HIZI HAPA JEZI MPYA ZA SIMBA ZA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

Feb 7, 2023

HAJI MANARA AIJIA JUU BODI YA LIGI KISA CLEAN SHEETS, SIMBA SC

Feb 7, 2023

DAYOO AFUNGUKA KWANINI ANASEMA “NAITWA MANGI…”

Feb 7, 2023
Load More

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema kwamba kumekuwa na udhaifu mkubwa wa kiushindani katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara hali inayohatarisha ubora uliokuwepo kwa misimu kadhaa iliyopita.

–

Kupitia kwenye ukurasa wake wa mtasndao wa kijamii wa Instagram, Ahmed Ally amehoji kuwa iweje hadi sasa takribani timu 14 zigombanie kutokushuka daraja huku ikiwa tayari raundi 22 zimeshachezwa.

ADVERTISEMENT

–

”Kati ya timu 16, timu 14 zinaweza kushuka daraja, hii sio aina ya Ligi tunayoihitaji haiwezekani timu nyingi zigombanie kushindwa. Ligi yenye ushindani ni ile ambayo timu nyingi zinagombania ubingwa, lakini msimu huu timu nyingi dhaifu, tupo raundi ya 22 lakini ni timu tatu tu zimefikisha alama 30+.

–

Msimu uliopita hadi kufikia raundi ya 22 japo timu zilikuwa nyingi lakini timu 7 zilikua na alama zaidi ya 30,hii ni hatari kwa sababu bingwa anaweza kupatikana kwa kufunga wadhaifu wengi. Najua utauliza kwanini na wewe usiwafunge hao dhaifu wengi ili uwe bingwa, ukweli ni kwamba katika hizo mechi zetu dhidi ya timu dhaifu nasi tulifanya udhaifu.”Ahmed Ally Afisa Habari wa Simba.

ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi (Kijana Mchapa Kazi) WhatsApp; 0689232546 Email ;shabanimohamed932@gmail.com

Related Posts

HIZI HAPA JEZI MPYA ZA SIMBA ZA LIGI YA MABINGWA AFRIKA
HABARI

HIZI HAPA JEZI MPYA ZA SIMBA ZA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

by Shabani Rapwi
Feb 7, 2023
TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA
HABARI

TANZANIA, UAE ZASAINI KUHIFADHI MAZINGIRA

by ALFRED MTEWELE
Feb 7, 2023
YANGA KWENDA TUNISIA LEO NA WACHEZAJI 25
HABARI

HAMTAMUONA KOCHA NABI AIRPORT – ALLY KAMWE

by Shabani Rapwi
Feb 7, 2023
YANGA KWENDA TUNISIA LEO NA WACHEZAJI 25
HABARI

YANGA KWENDA TUNISIA LEO NA WACHEZAJI 25

by Shabani Rapwi
Feb 7, 2023
QUEIROZ KOCHA MPYA QATAR
HABARI

QUEIROZ KOCHA MPYA QATAR

by Shabani Rapwi
Feb 7, 2023
ATSU APATIKANA AKIWA HAI KUTOKA KWENYE VIFUSI
HABARI

ATSU APATIKANA AKIWA HAI KUTOKA KWENYE VIFUSI

by Shabani Rapwi
Feb 7, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2022
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In