Beki na Nahodha wa klabu ya Yanga SC, Bakari Mwamnyeto ‘Nondo’ ameongeza mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuhudumu ndani ya klabu yake yenye maskani mitaa ya Twiga na Jangwani jijini Dar es Salaam.
ADVERTISEMENT
–
ADVERTISEMENT
Taarifa za kuongezewa mkataba Beki huyo zimewekwa katika ukurasa wa mtandao wa kijamii wa Instagram wa Klabu hiyo Yanga SC.