ADVERTISEMENT
Timu ya Namungo FC imepewa alama tatu (3) za mezani na magoli matatu (3) baada ya Mbeya kwanza kugomea mchezo dhidi ya Namungo kwa madai ya kutokuwepo kwa Ambulance uwanjani.
–
Pia kocha wa Mbeya kwanza Mbwana Makata na meneja wa klabu hiyo David Naftari wamefungiwa miakab mitano (5) kujihusisha na soka kila mmoja kwa kile kinachodaiwa kuwa waliwashinikiza Wachezaji kugomea mchezo huo wa ligi kuu.


ADVERTISEMENT