Klabu ya Newcastle United ina mpango wa kumrudisha ligi kuu ya Uingereza, Jose Mourinho ili awe kocha mkuu wa klabu hiyo.
–
Mourinho anaifundisha klabu ya As Roma kwa sasa ambapo amefanikiwa kuifikisha klabu hiyo hatua ya fainali ya michuano ya Conference league.
ADVERTISEMENT
–
Aliwahi kuvitumimia vilabu vya Chelsea na Manchester United vya Uingereza na kufanikiwa kushinda mataji mbalimbali ya ndani na je ya ligi.
–
Huyu ndiye kocha aliyeipa kombe Manchester United mara ya mwisho,Mpaka sasa hawajatwaa taji lolote. Newcastle wanaona kama Jose ni kocha sahihi kwao kuelekea msimu ujao.