ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Friday, March 24, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

NMB YAKUTANA NA WADAU WA UTALII MKOANI ARUSHA

I am Krantz by I am Krantz
May 25, 2022
in HABARI
0
NMB YAKUTANA NA WADAU WA UTALII MKOANI ARUSHA
0
SHARES
113
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Francis Michael akisalimiana na wafanyakazi wa Benki ya NMB wakiongozwa na Afisa Mkuu wa wateja Binafsi na Biashara, Filbert Mponzi (Kulia) wakati wa kongamano la wadau wa Utalii lililofanyika jijini Arusha.

RelatedPosts

BABA MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI WAKE

BABA MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI WAKE

Mar 24, 2023

WANAOKULA HADHARANI MCHANA WA RAMADHANI KUKAMATWA

Mar 24, 2023

HII KALI : KUISHI CHINI YA MAJI SIKU 100 KISA KUTAFUTA REKODI HII

Mar 24, 2023
Load More

 

Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya NMB – Filbert Mponzi akizungumza na wadau wa Utalii wakati wa Kongamano lililofanyika jijini Arusha. Benki ya NMB iliwakutanisha Wadau wa utalii zaida 150 ilikujadili mbinu za kuboresha biashara zao.

 

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Francis Michael amewataka wadau wa utalii mkoani Arusha kutumia fursa ya mikopo nafuu ya Benki ya NMB katika kuwekeza kwenye  sekta ya utalii ili kuvutia wageni nchini.

Akizungumza katika kongamano la utalii (Tourism Networking) lililofanyika jijini Arusha mwishoni mwa wiki Dk. Michael alisema Benki ya NMB imekuwa chachu katika kuhakikisha inawapa mikopo wadau wa sekta ya utalii katika kuimarisha mazingira ya vivutio nchini.

“Tunaomba mfanye jitihada za kuijenga sekta ya utalii kwani serikali imeshaweka mazingira ya kuitangaza kupitia filamu ya Royal Tour ambapo hadi sasa kuna baadhi ya hoteli zimeshajaa wageni, hivyo ni kitu cha kujivunia kwetu na nyie kama wadau ni vyema mkatumia fursa hiyo katika kuweka mazingira sawa,” alisema Dk. Michael.

Dk. Michael aliwaeleza wadau wa utalii kutumia vema fursa waliyopewa na Benki ya NMB kwa sababu ni taasisi muhimu ya kifedha inayoshiriki kwa kiasi kikubwa maendeleo ya kiuchumi na ubunifu nchini.

Alisema, fedha watakazotengewa kwa ajili ya mikopo wazitumie vema ili wazirudishe na wengine wapate fursa ya kuzipata kwa ajili ya kukuza uchumi na kuongeza idadi ya watalii nchini kwa maendeleo ya sekta zote.

Alisisitiza kuwa, wadau wa utalii wahakikishe wanatumia vema fursa waliyopewa na NMB kikamilifu ili kuimarisha usalama kwa watalii wanapokua nchini, ikiwemo kutumia vituo vya polisi vinavyohudumia watalii lengo likiwa ni kuongeza idadi ya watalii na kuwafanya wapate sababu za kurejea tena baada ya kurudi kwao.

“Hiki kinachofanywa na NMB ni kitu kikubwa sana, kifikirieni na mkitumie vizuri kwa sababu fursa kama hizi haziji mara mbili. Wafurahisheni watalii ili wakienda kwao wakawalete watu wengine na wao warejee tena na tena,” alisema Dk. Michael.

Afisa Mkuu wa Biashara na Wateja Binafsi wa NMB, Filbert Mponzi alisema benki hiyo wanaendelea  kuunga mkono juhudi  za Serikali kuboresha sekta ya utalii nchini. Aidha, Mponzi alisisitiza kuwa kwa miaka ya hivi karibuni NMB imeanza  kutoa huduma ya mikopo katika sekta ya utalii lengo ni kuimarisha katika kutoa huduma kwa wageni wanaofika nchini kutalii na kuona vivutio vilivyopo nchi nzima.

“Bado tunaendelea kutoa katika sekta ya utalii kwa lengo la kufanya vizuri zaidi na sasa tumejipanga kuwahudumia wageni wote wanaofika nchini, ili wakirudi kwao wapate sababu ya kurejea tena nchini,” alisema  Mponzi.

ADVERTISEMENT

Benki ya NMB wiki kadhaa zilizopota walikutana na wadau wa utalii visiwani Zanzibar ambapo waliwaahidi kuwapa mikopo mbalimbali kuanzia maboti na miradi mingine itakayohamasisha watalii kutembelea visiwa hivyi vyenye utajiri wa historia na mambo ya kiasili.

 

ADVERTISEMENT

*******ENDS******

 

 

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

BABA MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI WAKE
HABARI

BABA MWENYE NYUMBA AFUMANIWA NA MKE WA MPANGAJI WAKE

by Shabani Rapwi
Mar 24, 2023
WANAOKULA HADHARANI MCHANA WA RAMADHANI KUKAMATWA
HABARI

WANAOKULA HADHARANI MCHANA WA RAMADHANI KUKAMATWA

by Shabani Rapwi
Mar 24, 2023
HII KALI : KUISHI CHINI YA MAJI SIKU 100 KISA KUTAFUTA REKODI HII
HABARI

HII KALI : KUISHI CHINI YA MAJI SIKU 100 KISA KUTAFUTA REKODI HII

by Shabani Rapwi
Mar 24, 2023
WANAUME WANAONYANYUA VITU VIZITO WATAJWA RIJALI ZAIDI
HABARI

WANAUME WANAONYANYUA VITU VIZITO WATAJWA RIJALI ZAIDI

by Shabani Rapwi
Mar 24, 2023
MWALIMU JELA MIAKA 30 KWA KUMLAWITI MWANAFUNZI
HABARI

MWALIMU JELA MIAKA 30 KWA KUMLAWITI MWANAFUNZI

by ALFRED MTEWELE
Mar 24, 2023
BENKI YA NBC YAZINDUA KAMPENI YA MKEKA WA USHINDI NA ATM ZA NBC
HABARI

BENKI YA NBC YAZINDUA KAMPENI YA MKEKA WA USHINDI NA ATM ZA NBC

by I am Krantz
Mar 24, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2022
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In