Nyota wa zamani wa Cricket kutokea Australia Andrew Symonds (46) amefariki dunia kwa ajali ya gari iliyotokea Jumamosi usiku. Klabu yake ya zamani ya Kent Cricket imethibitisha.
–
ADVERTISEMENT
Polisi wa jimbo la Queensland wamesema kuwa wanafanya uchunguzi wa ajali hiyo iliyotokea eneo la Hervey Range na kuwa jitihada zao za kuokoa maisha ya Symonds zilifeli.
–
Symonds ni nyota na mkongwe wa tatu wa Cricket kutokea Australia kufariki mwaka huu baada ya Shane Warne na Rod Marsh.
ADVERTISEMENT