ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, July 2, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

Polio inaharibu maisha ya kesho ya mtoto wako – RC Pwani

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
May 18, 2022
in HABARI
0
Polio inaharibu maisha ya kesho ya mtoto wako – RC Pwani
0
SHARES
47
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

RelatedPosts

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI

Jul 2, 2022

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMAMOSI JULAI 2, 2022

Jul 2, 2022

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

Jul 2, 2022
Load More

Watoto 200,967 wenye umri chini ya miaka mitano wanatarajiwa kupata chanjo ya kinga dhidi ya ugonjwa wa Polio mkoani Pwani kampeni itakayofanyika kuanzia Mei 18 hadi 21 mwaka huu katika vituo vya mbalimbali vya Afya, shule na nyumba kwa nyumba.

–

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge akizindua kampeni hiyo Mei 18 mjini Kibaha amesema ugonjwa wa Polio ni hatari kwa sababu mtoto akiupata inaharibu kesho yake na pia anakua changamoto kwa familia yenyewe kwa sababu anakua anaishi na ulemavu usio na tiba miaka yote.

–

ADVERTISEMENT

Kunenge ametoa rai kwa wazazi wote, viongozi wa dini, wa kimila , vyama vya siasa na watendaji kwa Serikali kuhakikisha wanawaelimisha na kuwahimiza wananchi kupata chanjo hiyo muhimu kwa maisha ya watoto kwa sababu haina madhara yeyote. Awali Mganga Mkuu wa Mkoa huo Dkt. Gunini Kamba amesema chanjo itatolewa kwa siku tatu na lengo la kufika kwenye maeneo yote ikiwemo nyumba kwa nyumba .

“Madhara ya ugonjwa wa Polio ni ulemavu wa ghafla wa viungo na usiotibika kwa hiyo ni muhimu sana kila mzazi na mlezi wawatoe watoto wapate chanjo hii ni salama , pia shughuli za ufuatiliaji na utoaji wa taarif za wagonjwa wanaopata ulemavu wa ghafla zitafanyika”amesema Dk. Kamba

–

Kwa upande wao baadhi ya wazazi akiwemo Elizabeth Mbega na Shanni Hassan wameshukuru Serikali kusogeza huduma hiyo hadi nyumbani kwa sababu chanjo itaweza kuwafikia hata wale watoto wanaoishi na walezi wenye umri mkubwa (wazee).

–

Tanzania imeamua kufanya kampeni nchi nzima baada ya Serikali ya Malawi kutoa tamko Februari mwaka huu la kuwepo mlipuko wa Polio katika nchi hiyo baada mtoto mmoja kudhibitika kuwa na Polio na ni mara ya kwanza kwa bara ya Afrika kutokea kisa hicho baada ya kupita miaka mitano bila kisa cha ugonjwa huo.

–

ADVERTISEMENT

Pia ni sehemu ya utekelezaji Programu Jumuishi ya Taifa ya malezi . makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto ,( PJT _ MMMAM ) 2022/2025 -26 inayolenga kujibu changamoto za mahitaji kwa watoto ili kuwekeza kwenye maendeleo ya ukuaji timilifu kwa mtoto.

Na Julieth Ngarabali, Pwani

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi (Kijana Mchapa Kazi) WhatsApp; 0689232546 Email ;shabanimohamed932@gmail.com

Related Posts

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI
HABARI

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI

by Shabani Rapwi
Jul 2, 2022
NEYMAR KUONDOKA PSG
HABARI

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMAMOSI JULAI 2, 2022

by Shabani Rapwi
Jul 2, 2022
Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.
BIASHARA

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

by I am Krantz
Jul 2, 2022
AFARIKI DUNIA BAADA YA KUNASA KWENYE NYAYA ZA UMEME
HABARI

AFARIKI DUNIA BAADA YA KUNASA KWENYE NYAYA ZA UMEME

by Shabani Rapwi
Jul 1, 2022
MTUMISHI WA TANESCO AKUTWA GUEST AMEFARIKI
HABARI

MTUMISHI WA TANESCO AKUTWA GUEST AMEFARIKI

by Shabani Rapwi
Jul 1, 2022
SIKUKUU YA EID EL-ADH’HAA JULAI 10, 2022
HABARI

SIKUKUU YA EID EL-ADH’HAA JULAI 10, 2022

by Shabani Rapwi
Jul 1, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2022
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In