ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, July 2, 2022
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

PROF. LIPUMBA AMTABIRIA USHINDI RAIS SAMIA 2025

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
May 20, 2022
in HABARI
0
PROF. LIPUMBA AMTABIRIA USHINDI RAIS SAMIA 2025
0
SHARES
60
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

RelatedPosts

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI

Jul 2, 2022

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMAMOSI JULAI 2, 2022

Jul 2, 2022

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

Jul 2, 2022
Load More

Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba amesema anavutiwa na utendaji kazi wa Rais Samia Suluhu Hassan, hasa kutokana na kuwa msikivu kwa makundi mbalimbali.

–
Lipumba ameyasema hayo wakati wa mkutano wa hadhara katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora, ambapo Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa akiwahutubia wakazi wa mkoa huo. Amesema mikutano aliyoifanya Rais Samia na vyama vya siasa ni kielelezo cha kuonesha demokrasia ya kweli na kuongeza kuwa akiendelea hivyo atajiweka katika nafasi nzuri ya kuchaguliwa kuliongoza tena Taifa mwaka 2025.

ADVERTISEMENT

–
“Nakuomba jiwekee lengo la kushinda tuzo ya Mo Ibrahim kwa kuheshimu haki za binadamu na misingi ya demokrasia ya kweli kama unavyofanya sasa, ukiendelea kufanya hivi nina uhakika utarudi tena kuwa Rais wa Tanzania mwaka 2025.” amesisitiza Profesa Lipumba

–
Amesema Rais Samia Suluhu Hassan alipolihutubia bunge kwa mara ya kwanza alisema nchi ni ya watu wote na kama kuna mambo ya kuongea yupo tayari kukutana na makundi yote, jambo ambalo amelitekeleza. Aidha amewashauri viongozi wa mikoa na wilaya nchini kuiga mfano wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuandaa utaratibu wa kukutana na wanasiasa ili kujadili masuala mbalimbali.

ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi (Kijana Mchapa Kazi) WhatsApp; 0689232546 Email ;shabanimohamed932@gmail.com

Related Posts

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI
HABARI

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA AJALI

by Shabani Rapwi
Jul 2, 2022
NEYMAR KUONDOKA PSG
HABARI

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMAMOSI JULAI 2, 2022

by Shabani Rapwi
Jul 2, 2022
Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.
BIASHARA

Benki ya NBC yawapiga jeki wakulima kwa mikopo ya trekta.

by I am Krantz
Jul 2, 2022
AFARIKI DUNIA BAADA YA KUNASA KWENYE NYAYA ZA UMEME
HABARI

AFARIKI DUNIA BAADA YA KUNASA KWENYE NYAYA ZA UMEME

by Shabani Rapwi
Jul 1, 2022
MTUMISHI WA TANESCO AKUTWA GUEST AMEFARIKI
HABARI

MTUMISHI WA TANESCO AKUTWA GUEST AMEFARIKI

by Shabani Rapwi
Jul 1, 2022
SIKUKUU YA EID EL-ADH’HAA JULAI 10, 2022
HABARI

SIKUKUU YA EID EL-ADH’HAA JULAI 10, 2022

by Shabani Rapwi
Jul 1, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2022
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In