Rais Samia Suluhu Hassan akinyanyua Tuzo aliyopewa na Kituo cha Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), kuthamini mchango wake wa kutetea Haki za Binadamu na Utawala wa Sheria katika Maadhimisho ya miaka 10 ya Kituo hicho yaliyofanyika katika Ukumbi wa Jengo la PSSSF Jijini Dar es Salaam, jana.
Rais Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuzindua Ripoti ya miaka 10 ya Kituo cha Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania THRDC, katika Maadhimisho ya miaka 10 ya Kituo hicho yaliyofanyika katika Ukumbi wa Jengo la PSSSF Jijini Dar es Salaam jana.
Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Maadhimsho ya miaka 10 ya Kituo cha Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania THRDC, yaliyofanyika katika Ukumbi wa Jengo la PSSSF Jijini Dar es Salaam jana.
Washiriki wakimsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa akihutubia katika Maadhimsho ya miaka 10 ya Kituo cha Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania THRDC, yaliyofanyika katika Ukumbi wa Jengo la PSSSF Jijini Dar es Salaam jana.
Rais Samia Suluhu Hassan akitazama machapisho mbalimbali ya vitabu vilivyokuwa vikionyeshwa katika Maadhimsho ya miaka 10 ya Kituo cha Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania THRDC, yaliyofanyika katika Ukumbi wa Jengo la PSSSF Jijini Dar es Salaam jana. (Picha zote na Ikulu).