Rais Samia Suluhu Hassan amewahakikishia wafanyakazi kuwa ahadi ya kuwaongezea Mshahara aliyoipata mwaka jana wakati wa sherehe za Mei Mosi jijini Mwanza ipo pale pale.
–
ADVERTISEMENT
Akihutubia wakati wa sherehe za mwaka huu za siku ya wafanyakazi Duniani zinazofanyika Mkoani Dodoma
–
Rais Samia amesema “lile jambo letu lipo ila sio kama lilivyosemwa na TUCTA” akimaanisha utekelezaji wa ahaidi hiyo upo pale pale.
ADVERTISEMENT