Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya Kiserikali ya siku mbili Uganda kuanzia leo May 10 – May 11 kwa mwaliko wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni.
–
Hii itakuwa ni ziara ya kwanza ya Kiserikali nchini kufanywa na Rais Samia tangu Serikali ya awamu ya sita iingie madarakani March 2021.
–
ADVERTISEMENT
Madhumuni ya ziara ni kudumisha na kuimarisha zaidi historia ya mahusiano na kidiplomasia na ushirikiano wa kiuchumi na kijamii kati ya nchi hizi mbili.
ADVERTISEMENT