ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, March 20, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Real Madrid yaongoza kwa kuwa na ‘chapa’ yenye thamani kubwa zaidi duniani

I am Krantz by I am Krantz
May 27, 2022
in HABARI
0
Real Madrid yaongoza kwa kuwa na ‘chapa’ yenye thamani kubwa zaidi duniani
0
SHARES
111
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

RJ THE DJ VIFO VINAONGEZA MSONGO WA MAWAZO

ROMY JONS AOMBA MSAMAHA

Mar 20, 2023

MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”

Mar 20, 2023

WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA

Mar 20, 2023
Load More

Klabu ya Real Madrid ya Hispania imeendelea kushika usukani wa kuwa chapa yenye thamani kubwa zaidi duniani kwa miaka minne mfululizo.

Kwa mujibu wa Brand Finance Football 50 2022, Real Madrid ndiyo chapa yenye thamani kubwa zaidi ya soka duniani kwa mwaka wa nne mfululizo.

Ripoti kutoka The Football 50 2022 inaitaja thamani ya chapa ya klabu hiyo kwa sasa kufikia €1.5 bilioni na kuzipiku Klabu za Manchester City (€1.3bn) na Barcelona (€1.3bn).

Katika ripoti yake, Brand Finance inabainisha kuwa, “Ongezeko la thamani ya chapa ya Real Madrid mwaka huu lilitokana na mchanganyiko wa nguvu ya chapa yenyewe iliyoboreshwa na mwelekeo mzuri wa mapato. Chapa hii ina fursa nzuri za kukua pamoja na fursa za ufadhili.”

‘Klabu inajivunia chapa yenye nguvu zaidi ya kandanda duniani’, ilisema taarifa ya klabu hiyo kuhusu ripoti hiyo.

Brand Finance pia huamua nguvu ya chapa kupitia vipimo vinavyotathmini uwekezaji wa masoko, usawa wa wadau na ufanisi wa biashara.

Katika orodha hii, Real Madrid ilipata alama ya Brand Strength Index ya 94.0 kati ya 100 na alama ya chapa ya AAA+, ambayo inaweka klabu hiyo kuwa mbele ya Liverpool yenye alama (92.9) na Barcelona (92.1).

Orodha ya Vilabu 10 bora vyenye chapa yenye thamani zaidi duniani;

1. Real Madrid €1.5bil

2. Manchester City €1.3bil

3. Barcelona €1.3bil

4. Liverpool €1.3bil

5. Manchester United €1.3bil

6. Bayern Munich €1.1bil

7. PSG  €1.0bil

8. Tottenham €0.9bil

9. Chelsea €0.9bil

10. Arsenal €0.8bil

ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

RJ THE DJ VIFO VINAONGEZA MSONGO WA MAWAZO
HABARI

ROMY JONS AOMBA MSAMAHA

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”
HABARI

MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”

by ALFRED MTEWELE
Mar 20, 2023
WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA
HABARI

WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
TMA YATOA TAHADHARI MVUA KUBWA MIKOA HII KUANZIA LEO NA KESHO
HABARI

TMA YATOA TAHADHARI MVUA KUBWA MIKOA HII KUANZIA LEO NA KESHO

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
WATU 5 WASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA WIZI MAFUTA SGR
HABARI

WATU 5 WASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA WIZI MAFUTA SGR

by ALFRED MTEWELE
Mar 20, 2023
MARUFUKU KUTOA FEDHA UPATE DHAMANA POLISI
HABARI

MARUFUKU KUTOA FEDHA UPATE DHAMANA POLISI

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2022
M T W T F S S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In